Haya mafuriko ya leo Ifakara ni hatari

Hiyo ni barabara ya Arusha Moshi maeneo ya King'ori, leo kuanzia saa Kumi alfajiri Hadi muda hii barabara imefungwa, magari hayapiti Kuna mkusanyiko mkubwa wa abiria maeneo hayo. Abiria Leo watachelewa kufika maeneo Yao, na wageni toka Arusha waliokuwa wanawahi ndege wamekutana na dhahama hiyo.
 
Mafuriko yataathiri maandamano 🐼
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…