Haya mafuriko ya leo Ifakara ni hatari

Haya mafuriko ya leo Ifakara ni hatari

17140278352717572248031785459430.jpg

Daraja pekee linalotoa maji Kwa shungu!!
 
majanga ya asili ndivyo yalivyo.

ni vizuri kuchukua tahadhari na kwakweli kuwa waangalifu tunaposhuhudia athari za mvua hizi maeneo mbalimbali nchini.

Tusijaribu kuvuka maji kwa ubabe wa misuli tulonayo, tuw wastahimilivu na wenye subra kunusuru afya na uhai wa maisha yetu 🐒
 
Hiyo ni barabara ya Arusha Moshi maeneo ya King'ori, leo kuanzia saa Kumi alfajiri Hadi muda hii barabara imefungwa, magari hayapiti Kuna mkusanyiko mkubwa wa abiria maeneo hayo. Abiria Leo watachelewa kufika maeneo Yao, na wageni toka Arusha waliokuwa wanawahi ndege wamekutana na dhahama hiyo.
 

Attachments

  • VID_20240425_082805.mp4
    41.6 MB
Back
Top Bottom