mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Hatari sana 🙄 !Hiyo ni barabara ya Arusha Moshi maeneo ya King'ori, leo kuanzia saa Kumi alfajiri Hadi muda hii barabara imefungwa, magari hayapiti Kuna mkusanyiko mkubwa wa abiria maeneo hayo. Abiria Leo watachelewa kufika maeneo Yao, na wageni toka Arusha waliokuwa wanawahi ndege wamekutana na dhahama hiyo.