Haya mafuriko ya leo Ifakara ni hatari

Haya mafuriko ya leo Ifakara ni hatari

Maelezo mengi kapicha kamoja tu.




KAZI ni kipimo Cha utu
 
Mto Lumemo umemwaga sio mchezo ni balaa!! Kifupi kama unatokea Kibaoni kuja mjini, kuanzia ilipo Villa Lodge kote maji yamefurika balaa.

Njoo mpaka Kona ya Jerusalem kote huko ni maji tu, kama unafahamu barabara ya kwenda PK arena nako ni maji yanapita juu ya barabara kama mto..

Sogea mbele kama unaenda Ester Petrol station huko kote ni maji.. wenyeji wanasema imewahi kutokea muda mrefu.. kifupi Ifakara imeloa sasa yote tisa huko wanaita Katindiuka ndo mziki mnene
Wewe ndio mwenyeji kabisa. Nipo hapa mjini ifakara. Maji kwa sasa yamepungua. Hayo maeneo ulotaja ndio waathirika wakubwa.
Sijawahi shuhudia maji ya hivi.
 
Poleni sana watu wa Ifakara. Naushuouru serikali ya CCM kwa kuleta mvua watu waoande mpunga. Kazi iendelee!!
 
Back
Top Bottom