Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinasambaza upendoHichi kifurushi cha wiki ni balaa.
Aisee!!!Bwana la Nyerere ndio lina sababisha mafuriko
Mto Lumemo umemwaga sio mchezo ni balaa!! Kifupi kama unatokea Kibaoni kuja mjini, kuanzia ilipo Villa Lodge kote maji yamefurika balaa.
Njoo mpaka Kona ya Jerusalem kote huko ni maji tu, kama unafahamu barabara ya kwenda PK arena nako ni maji yanapita juu ya barabara kama mto..
Sogea mbele kama unaenda Ester Petrol station huko kote ni maji.. wenyeji wanasema imewahi kutokea muda mrefu.. kifupi Ifakara imeloa sasa yote tisa huko wanaita Katindiuka ndo mziki mnene
Tumia akili kidogo basi. Hivi unaijua jiografia hata ya hii nchi? Bwawa la Nyerere limelaumiwa kuwa ni sababu ys mafuriko huko Rufiji. Sasa Rufiji na Ifakara wapi na wapi?Mwanzo walikuwa wanasema ndo nataka wanisapoti kama wapo
Huko wapi Tena??
Huko nako kuna bwawa?Hiyo ni barabara ya Arusha Moshi maeneo ya King'ori, leo kuanzia saa Kumi alfajiri Hadi muda hii barabara imefungwa, magari hayapiti Kuna mkusanyiko mkubwa wa abiria maeneo hayo. Abiria Leo watachelewa kufika maeneo Yao, na wageni toka Arusha waliokuwa wanawahi ndege wamekutana na dhahama hiyo.
Shauri ya bwawa la umeme. Watanzani ndoo maana kura ya maoni imebumbaHiyo ni barabara ya Arusha Moshi maeneo ya King'ori, leo kuanzia saa Kumi alfajiri Hadi muda hii barabara imefungwa, magari hayapiti Kuna mkusanyiko mkubwa wa abiria maeneo hayo. Abiria Leo watachelewa kufika maeneo Yao, na wageni toka Arusha waliokuwa wanawahi ndege wamekutana na dhahama hiyo.
Ahahaha huna lolote kwanza upo ifakara au Malinyi hukoKumbe wale walioonekana wanaingia Villa Lodge ni wewe na wifi...!!???🤪🤪😜
Jamaa zangu wenye frem za hardware wamepata hasara maji ni mengi ila kwa kiasi yamepunguaWewe ndio mwenyeji kabisa. Nipo hapa mjini ifakara. Maji kwa sasa yamepungua. Hayo maeneo ulotaja ndio waathirika wakubwa.
Sijawahi shuhudia maji ya hivi.
We bado mdogo huijui historia ya rufiji hata kabla ya bwawaAisee!!!
Kwako mtu akifa kwa kugongwa na Gari lako na mwingine akafa kwa kujinyonga itakuwa imefafana???
Yaani mtu akifa kwa kujinyonga utauliza kuwa " na huyo kafa kwa kugongwa na Gari langu??"
Bwawa la Nyerere inawezekana ni chanzo cha mafuriko kwa baadhi ya maeneo, Sasa ni kutotumia akili vizuri kuhusisha mafuriko ya mahali kwingine na bwawa la Nyerere!!!
CCM inapandikiza ujinga kwa watanzania na kwa bahati mbaya sana watanzania wanaopokea ujinga huo na kuusheherekea.
Mwenge uende na kauli mbiu mabwawa zaidi Kilombero, Ulanga na kote Tanganyika
View: https://m.youtube.com/watch?v=oh7oNlHbzv4
Ahahaha huna lolote kwanza upo ifakara au Malinyi huko
Ni mimi furahi sasaView attachment 2974136
Haya bisha sasa, huyo ni nani...!!!
Ready handed mko getini mnaingia....😆😆😆😆
Kufika Mbingu lazima udanje kwanzaMbingu ya huko unaenda laivu laivu kabisa
Sio mbingu ya MorogoroKufika Mbingu lazima udanje kwanza