Haya mafuriko ya leo Ifakara ni hatari

Nakuelewa sana motivational speaker mlinda uhai mkongwe. Mtu wa maana sana wewe
 
Aaawwwwww Kaaabuuuuu.....☺☺☺☺
Am blushing 😊☺😍.

Salamu tele hapo ulipo.

Ila nitake radhi banaaa, mie sio motivesheno spika....😜😜.
 
Aaawwwwww Kaaabuuuuu.....☺☺☺☺
Am blushing 😊☺😍.

Salamu tele hapo ulipo.

Ila nitake radhi banaaa, mie sio motivesheno spika...

Aaawwwwww Kaaabuuuuu.....☺☺☺☺
Am blushing 😊☺😍.

Salamu tele hapo ulipo.

Ila nitake radhi banaaa, mie sio motivesheno spika....😜😜.

Aaawwwwww Kaaabuuuuu.....☺☺☺☺
Am blushing 😊☺😍.

Salamu tele hapo ulipo.

Ila nitake radhi banaaa, mie sio motivesheno spika....😜😜.
Salama uzima tele, na kwa nini unafunga PM
 
Mwenyewe kachukua pasiwedi yake...😅😅😅

Anasema Kasie ni wa wenyewe, PM mwisho Habari Hoja Mchanganyiko....😄😄😄😄.

Ila swali lako limenichekesha sana....😅😅.
 
Muda huu maeneo ya kwa shungu, katindiuka, na mbasa yamefurika maji.

Mamia kadhaa ya watu wameyakimbia makazi yao.

View attachment 2973379
Una taarifa kuwa usiku wa kuamikia leo Lumemo imetapika? Haya sasa pengine yanaweza kuzidi yaliyopita kwa sababu mto haukupungua maji na sasa yameongezeka tena. Hali sio hali ni balaa
 
Najua.

Yaani ni tafrani na haya ya leo Yana spidi kubwa kuliko yale ya siku ile.

Na tatizo mvua bado inanyesha ingawa imepungua kidogo.
 
Mkuu hatari hii mvua toka juzi inapiga, juzi nilikuwa Mang'ula mvua ilianza kunyesha na ilikuwa kubwa. Narudi Ifakara napo nakuta mvua na ilikesha, jana tumeshinda nayo its obvious mto lazima ufurike

TMA nao wanasema itanyesha hadi tar11 hii ni balaa sasa.
 
Una taarifa kuwa usiku wa kuamikia leo Lumemo imetapika? Haya sasa pengine yanaweza kuzidi yaliyopita kwa sababu mto haukupungua maji na sasa yameongezeka tena. Hali sio hali ni balaa
Hebu weka ka video
 
Nashukuru watu Leo wametoka na mabegi yao ya nguo.

Pale mbele kwa mfamiko Kuna trekta nusura liue lililokuwa limewabeba. Tatizo leo mvua inanyesha kwa ivo pa kujificha imekuwa taabu.

Watu wamejazana Asante Lodge No.1.
 
Aisee kwa Mfamiko kulikuwa na trekta? Kwamba trekta ndo linaokoa watu!! Anyway soon ntatoka kuelekea mjini. Vipi pale kwenye yard ya Mose panapitika? Last time kulikuwa na jam ya kufa mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…