Hizo dumu unazoziona wanauza lita 5 pale stendi hayana kipimo sahihi ni changa la macho.Niko Dodoma nimeyasaka kweli lita 5 tsh 25000 hadi 24000 hajabu pale stendi kuu iliyo nje ya mji wanauza 20 kwa ujazo huo huo nikabaki na maswali tele.
Je yale ya stendi ni feki au?
Niko Dodoma nimeyasaka kweli lita 5 tsh 25000 hadi 24000 hajabu pale stendi kuu iliyo nje ya mji wanauza 20 kwa ujazo huo huo nikabaki na maswali tele.
Je yale ya stendi ni feki au?
Kumbe hujui eeeh! Lile dumu la Lita tano wanakupiga pasi kinakua limebonyea so,linaingia Lita tatu baada ya tano,Mimi mutu ya singida najua ndugu zangu wanavyofanya.ila iwe Siri usimwambie mtu eeeh[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Niko Dodoma nimeyasaka kweli lita 5 tsh 25000 hadi 24000 hajabu pale stendi kuu iliyo nje ya mji wanauza 20 kwa ujazo huo huo nikabaki na maswali tele.
Je yale ya stendi ni feki au?
Kama huamini nunua ukayapime Kama uapata Lita tano[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Niko Dodoma nimeyasaka kweli lita 5 tsh 25000 hadi 24000 hajabu pale stendi kuu iliyo nje ya mji wanauza 20 kwa ujazo huo huo nikabaki na maswali tele.
Je yale ya stendi ni feki au?
Wapi hukoMafuta safi ya kitimoto lita ni elfu mbili, mpaka pungufu unaongea kama unachukua mengi.
Nashangaa mnahangaika na hayo mafuta ya kemikali kwa elfu tano.
Kwel yale mafuta ya stand ni litre 4 net sio 5Hizo dumu unazoziona wanauza lita 5 pale stendi hayana kipimo sahihi ni changa la macho.
Hizo dumu ni ndogo zimebinywa na yale mafuta ukipima ni Lita 3.5 au 4.. changanya akili vizuri.
Buguruni nunua matunda, vyakula vya mizizi na nafaka vingine waachie wenyeweJana niliona buguruni mafuta ya kupikia yapo kama ya alizeti kabisa yameenea kila mahali sokoni wanauza 4200 kwa lita jee ni mafuta kweli
Nilitaka kununua ila niliingiwa na wasiwasi sana
Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
ππππ Mkuu kuna aina ya mafuta inaitwa mkojo au mkojo huu huu takamwili??Wafanya biashara wa dar sio wakuwapa dhamana kabisa, wako tayari kufanya chochote ili wapate hela
hapo usikute kaweka mafuta halisi ujazo wa kindude cha soda afu the rest ni mkojo
Itakua mafuta ya kuoshea bunduki na mizinga[emoji16]Jana niliona Buguruni mafuta ya kupikia yapo kama ya alizeti kabisa yameenea kila mahali sokoni wanauza 4200 kwa lita jee ni mafuta kweli
Nilitaka kununua ila niliingiwa na wasiwasi sana
Mafuta safi ya kitimoto lita ni elfu mbili, mpaka pungufu unaongea kama unachukua mengi.
Nashangaa mnahangaika na hayo mafuta ya kemikali kwa elfu tano.
Yametengenezwa kwa kutumia mbuzi katoliki mkuuJana niliona Buguruni mafuta ya kupikia yapo kama ya alizeti kabisa yameenea kila mahali sokoni wanauza 4200 kwa lita jee ni mafuta kweli
Nilitaka kununua ila niliingiwa na wasiwasi sana
Wakati nipo mdogo nakumbuka nilikuwa natumwa mafuta ya kura kipimo sh 50.Kwani huko kwenu bei ya mafuta kwa sasa ni ngapi?!!kwani kwa sasa sehemu nyingi hiyo ndio bei yake, na mbagala hata 4000, unapata.