Haya mafuta ya kula yanayouzwa Buguruni 4000 lita yanatoka wapi?

Haya mafuta ya kula yanayouzwa Buguruni 4000 lita yanatoka wapi?

Niko Dodoma nimeyasaka kweli lita 5 tsh 25000 hadi 24000 hajabu pale stendi kuu iliyo nje ya mji wanauza 20 kwa ujazo huo huo nikabaki na maswali tele.
Je yale ya stendi ni feki au?
Hizo dumu unazoziona wanauza lita 5 pale stendi hayana kipimo sahihi ni changa la macho.
Hizo dumu ni ndogo zimebinywa na yale mafuta ukipima ni Lita 3.5 au 4.. changanya akili vizuri.
 
Transformer-Oil.jpg
 
Niko Dodoma nimeyasaka kweli lita 5 tsh 25000 hadi 24000 hajabu pale stendi kuu iliyo nje ya mji wanauza 20 kwa ujazo huo huo nikabaki na maswali tele.
Je yale ya stendi ni feki au?
Kumbe hujui eeeh! Lile dumu la Lita tano wanakupiga pasi kinakua limebonyea so,linaingia Lita tatu baada ya tano,Mimi mutu ya singida najua ndugu zangu wanavyofanya.ila iwe Siri usimwambie mtu eeeh[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Niko Dodoma nimeyasaka kweli lita 5 tsh 25000 hadi 24000 hajabu pale stendi kuu iliyo nje ya mji wanauza 20 kwa ujazo huo huo nikabaki na maswali tele.
Je yale ya stendi ni feki au?
Kama huamini nunua ukayapime Kama uapata Lita tano[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hizo dumu unazoziona wanauza lita 5 pale stendi hayana kipimo sahihi ni changa la macho.
Hizo dumu ni ndogo zimebinywa na yale mafuta ukipima ni Lita 3.5 au 4.. changanya akili vizuri.
Kwel yale mafuta ya stand ni litre 4 net sio 5
 
Wafanya biashara wa dar sio wakuwapa dhamana kabisa, wako tayari kufanya chochote ili wapate hela

hapo usikute kaweka mafuta halisi ujazo wa kindude cha soda afu the rest ni mkojo
😂😂😂😂 Mkuu kuna aina ya mafuta inaitwa mkojo au mkojo huu huu takamwili??
 
Wenzetu mnanunuaga mafuta Gani maana masokon/madukan ndo mafuta hayo, wanamimina toka kwenye madumu na ndoo alafu wanapima kabisa izo Lita moja na kuna 2800 ile chupa ya udongo hatariii lita.

Kipimo kidogo wanapima Toka chupa ya soda ile min Kwa 1000
 
Mafuta safi ya kitimoto lita ni elfu mbili, mpaka pungufu unaongea kama unachukua mengi.
Nashangaa mnahangaika na hayo mafuta ya kemikali kwa elfu tano.

Ila harufu sasa inataka uvumilivu.
 
Jana niliona Buguruni mafuta ya kupikia yapo kama ya alizeti kabisa yameenea kila mahali sokoni wanauza 4200 kwa lita jee ni mafuta kweli

Nilitaka kununua ila niliingiwa na wasiwasi sana
Yametengenezwa kwa kutumia mbuzi katoliki mkuu
 
Kwani huko kwenu bei ya mafuta kwa sasa ni ngapi?!!kwani kwa sasa sehemu nyingi hiyo ndio bei yake, na mbagala hata 4000, unapata.
Wakati nipo mdogo nakumbuka nilikuwa natumwa mafuta ya kura kipimo sh 50.
Unga wa sembe kilo 150
Mchele kilo supa sh 600.
Hyo supa kweli kweli
 
Back
Top Bottom