Cold Free
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 227
- 385
Hizo dumu unazoziona wanauza lita 5 pale stendi hayana kipimo sahihi ni changa la macho.Niko Dodoma nimeyasaka kweli lita 5 tsh 25000 hadi 24000 hajabu pale stendi kuu iliyo nje ya mji wanauza 20 kwa ujazo huo huo nikabaki na maswali tele.
Je yale ya stendi ni feki au?
Hizo dumu ni ndogo zimebinywa na yale mafuta ukipima ni Lita 3.5 au 4.. changanya akili vizuri.