Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
mkuu Extrovert unataka kununua baiskeliSijui tunafeli wapi wanazengo ila kimsingi natamani sana kama tungeanza kuhamia huku mdogo mdogo.View attachment 2078838
Hii gari ni ya usd 8000 tu roughly kama 18.5m hivi kwa wanaonunua gari za 25-30M naona kama hii chuma inanunulika kabisa...
Najua ni NM hata hivyo ili gari itembee inabidi iwe converted to speed ambayo itakuwa inakata KM so nafikiri tuanzei hapoMzee SI unit ya torque sio kilomita, Mana torque =Force*distance
Hapo ndio tumebanwa mbavuMziki wake hizo gari ni battery ikifa, bei yake ni almost nusu ya manunuzi ya gari na lifespan yake ni miezi 18 kama ukizingatia masharti ya kuchaji
Kananunulika, tatizo vikishanunuliwa kama 10, TRA lazima wakaze uzi.....wana wivu sana waleSijui tunafeli wapi wanazengo ila kimsingi natamani sana kama tungeanza kuhamia huku mdogo mdogo.
View attachment 2078838
Hii gari ni ya usd 8000 tu roughly kama 18.5m hivi kwa wanaonunua gari za 25-30M naona kama hii chuma inanunulika kabisa.
Kigari kina Range ya 360KM per single charge which is fair enough kwa mizunguko ya mjini with 150KPH top speed which is also fair kwa mjini. Battery la 45.2KwH with fast charging ya 100% ndani ya lisaa limoja au 10 hrs standard charging.
Kwa gharama za mafuta naona kama hii ni option nzuri na mbadala au nasema uongo ndugu zangu?
Hizi gari haziaribiki kiwepesi sababu zina less moving parts! Yani kitendo cha kuwa na motor tu kimeondoa propeller, camshaft,crankshaft, piston, valve!Tatizo watu ni restance to change haya magari nimekuwa nikiyafatilia sana kwenye forum mbalimbali ,yanafanya vizuri sana , sana nikihama kwenye mazda lazima nijirupue maana wanatoa warant na garantee ya vipuli kipi nihofie?? Dola 7000$ sio shida ,Tubadilike tuache ujuaji na kukatisha watu tamaa
Kilometa laki tanoππ mkuu hizo battery hazitoboi hata kilometa laki ....Hizi gari haziaribiki kiwepesi sababu zina less moving parts! Yani kitendo cha kuwa na motor tu kimeondoa propeller, camshaft,crankshaft, piston, valve!
Yani service kubwa ni battery ambalo pia haliaribiki leo unaweza dunda nalo mpaka kilometer laki 5 huko ndio battery ife.
Halafu hao wachina mnaowabeza ndio wanatengeneza almost bidhaa zote za brand kubwa kubwa under licence na costs ziko chini sababu ya cheap labour costs.
Wabongo wanaponda tu hata zilipokuja sanLG na Fekon walipondaga sana ila mwisho wakakubaliana tu kuwa zile ni pikipiki kama zingine tu.
Mzee SI unit ya torque sio kilomita, Mana torque =Force*distance
Inaweza kuwa sio rahisi lakini ishu ni kwamba Siku ikiharibika au ikifa unaipata kwa bei gani?Battery kufa sio rahisi kama mnavyojitisha humu
Pikipiki zinaitwa baiskeli za umeme kwa hiyo ukinunua ni mtelezo tu. Na Mchina ameweza kweli maana ina pedal za baiskeli ikiisha charge ghafla unanyonga tu kama baiskeli.