Haya mahesabu ya Wazungu dhidi ya Urusi ni hatari

Hawataweza kwa nguvu ya Mungu aliye juu. Hawaamini macho yao yani this move was well calculated kila swali lina jibu tayari 😂😂😂 NATO wamekuwa brainless
 
We mkundu,matusi nayajua sana tena sana,naomba jaribu kujadili hoja kwa point,kama una mapenzi mazito na Russia ni wewe,kama nina mapenzi na Marekani na NATO ni Mimi,tupingane kwa hoja! Naomba niishie hapa
 
BRICS ni sawa na AU tu, wazugaji.
 
Yaan nato wapo wengi ila wanaogopa kuingia vitani na nchi yaani moja

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Na inasemekana kuna s600 ipo kuchemka jikoni ikiiva itakuja tu mezani

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Yaan nato wapo wengi ila wanaogopa kuingia vitani na nchi yaani moja

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app

Mtu mzma anashindaa kung’amua nchi 30 zimeungana kijeshi kisa Russia ambaye ni wanadai ni maskini. Kuingia front wanapiga kelele za vikwazo mara vikao vya Umoja wa kina mama (EU) haviishi.

Kitendo cha Russia kupambana na nchi 30 tena tajiri kwangu nampa respect huyu ndo superpower [emoji91]
 
Hivi unadhani nchi gani ya EU Iko tayari kurisk kuwa kwenye vita na Urusi?
Hilo jambo haliwezi kutokea na litapingwa na member states wengi!
Ohoo wewe ndio haupo kabisa, kaa kwa kutulia!
 
Yaan nato wajitahidi tu kumsuta sana russia kupigana naye wanaogopa..maana hiyo itakuwa suicide by russian style

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…