Hizo THAAD na patriot si ndio ziliwaingiza hasara saudi arabia baada ya kushinda kuzuia rocket za kutoka yemen tena homemadeMember wao wa NATO uturuki alizipiga chini Patriot na THAAD za mmarekani akaamua kununua S-400. Hiyo mashine kzi iliyofanya pale Syria sio ya kitoto.
We endelea tu! Unadhani wote ni watoto! Kwan kua shabiki wa Marekani au NATO ndiyo lazima uwe shoga?? Kwan Russia hakuna Mashoga??
Yaan nato wajitahidi tu kumsuta sana russia kupigana naye wanaogopa..maana hiyo itakuwa suicide by russian style
Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
Hizo THAAD na patriot si ndio ziliwaingiza hasara saudi arabia baada ya kushinda kuzuia rocket za kutoka yemen tena homemade
Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
Iskander Safa tajiri mmoja hiviWakavae kwanza daipa walizoea kupigana na wenye ak47 wapanda farasi kule kuna kuna iskander,satan2 maana matumbo yasije vurugika
Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
S400 kote huko s300 tu inawatoa povu maana kuna f35 ya israel ilijichanga huko syria ikakutana na mdogo wao s200 na akala kichwaKama S-400 bado inawasumbua kuja kufikia level ya S-550 ni lini?? Na kumbuka Russia anatengeneza mwenyewe hashirikiani na mtu.View attachment 2270787
Nilisikiliza kwa umakini kauli ya Putin, alisema nchi/alliance itakayo peleka Jeshi Ukraine ili kupambana na jeshi la Urusi ana kwa ana hilo likitokea basi Putin ata deal na nchi husika kwa nguvu zake zote bila simile - whatever that means - lakini si onyo la kupuuzia hata kidogo - mataifa ya Ulaya yanapashwa kutafakali onyo la Putin kwa umakini sana sana. Hayo ndio maoni yangu.Mkuu hebu tafakari Tangazo la urusi kwamba Rafiki Yeyote wa Adui yangu ni adui yangu na Atakaye Msaidia Atakiona cha mtema kuni!
Huoni nchi za AU wamepuuza mkwala wa Putin na kuisaidia Ukreine?!
Huoni Mapuuza hayo ya AU ni Utayari kwa lolote??
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Kuna muda MANATO hua mwazitumia vyema akili zenu[emoji23][emoji16][emoji23][emoji3][emoji23]Ila zidhani kama watafanikiwa kumwezesha Ukraine ashinde ni ngumu sana kiufup wakae chini wayamalize maana wote wnaingia hasara tuu
konkiHiki kipindi walikadilia vizuri sana kumpunguza Magufuli angekutana nacho hakika dunia ilikua inaenda kuona mabadiliko makubwa ya Afrika mashariki na Afrika kwa ujumla alale salama Dkt. John Pombe Magufuli.
Hawamtaki kwa sababu Putin hapendi ujinga wa wamarekani!!Soma historia kijana, Wakubwa wa Ulaya huwa hawaikubali Urusi tangu enz na enz km Tz tusivyokubalika East Africa sabab ya kutotaka kucopy with others, Urusi ndo taifa pekee balani Ulaya lenye akili za Ki Asia (udikteta na utawala wa mabavu usiojali nin wananch wanataka, nguvu ya dola ipo mikononi mwa mtu mmoja, ona UK juz walikuwa wana mchallange Boris ila Bunge la Urusi halina kauli dhidi ya Putin, hiki ndo Mabeberu hawakitaki)
Iskander Safa tajiri mmoja hivi
Nalog off Z
Labda alikua laana kwenu nyie.Jiwe alikuwa laana kwa taifa. Tushukuru Mungu kwa kuingilia kati
Mnajidanganya nyie,Iran japo ana nguvu hawezi hangaika na Vita ilhali Middle east Kuna Israel anamnyemelea akosee amtifue,pia ana matatizo ya kiuchumi.Endeleen kudanganyana ila nakuambia hakuna chawa yoyote mpaka Uyo superpower wenu wa mchongo Mr Canon hawezi kuthubutu kamwe.
EU hawawezi kwenda vitani bila US na hapo NATO lazima ihusike na nakwambia usifikiri NATO kama ataingia vitan Russia hawezi kuwa peke yake kuna NK, Iran, China, India, member wa CSTO wote lazma waje watoe sapoti hapo itakua WW3.
Una akili kweli wewe? Unauliza kwanini namwita mtu aliyekuwa anaua raia wake na mwizi kuwa ni laana ya Taifa? Ajabu hiiLabda alikua laana kwenu nyie.
ILA TANZANIA TOKA INAPATA UHURU MARAIS NI WAWILI TU NYERERE NA MAGUFULI AMBAO WALIJARIBU kutufundisha uchumi tegemezi na kuepukana na colonial mindset kitu ambacho watu wenye akili za kifisadi hamuwezi elewa.
Unamuitaje mtu aloweka nidhamu ktk utumishi wa umma ni laana!?
Unamuitaje rais alifanya uthubutu wa mambo mengi kimaendeleo ambayo HAKUNA RAISA ALOTHUBUTU ni laana!?
Leo ndio nimeelewa kwann bongo tunachelewa kuendelea kwa akili km hizi.