Wewe samahani usituharibie siku yetu buana, huyu jama wako alikua ignorant kuhusu International relations and world politics Tz was a laughing stock to the world kwa sabb ya huyu buana.Hiki kipindi walikadilia vizuri sana kumpunguza Magufuli angekutana nacho hakika dunia ilikua inaenda kuona mabadiliko makubwa ya Afrika mashariki na Afrika kwa ujumla alale salama Dkt. John Pombe Magufuli.
duh akili umeacha wapMkuu, si nchi za EU tu ambazo haziwezi ku-risk kuingia vitani na Urusi, hata Amerika haina ubavu wa kuingia vitani moja kwa moja na Urusi - they know military capabilities of them Russians should they decide to unleash their formidable weapons/missiles which western nations have no capabilities of intercepting them!!
Sasa wakati wa kumpiga muhuni umefika anazidi kuingia kwenye kumi na nane za wanaume sasa kashaelekezwa machinjioni.
kwan hzo nch waliwai kukurupuka hata Kumtoa Ghadaf walisaidia silaha hlf wakaja kumaliza kaz kiurahis , West wana mipango , hawaendeshw na mihemko , badala ya kukaza fuvu ni muda sasa wa kujifunza namna ya kufanya km wao , China imejifunza ona ilipo , huku Afrika mashariki mr slim anafuata nyayo , kwasasa mr slim anailinda ikulu ya Africa ya kati bila kusahau Drc anaiperekesha atakavyo huko Msumbij bi Nyuso ndo anamkubali Mr Slim kwa huduma aliyoitoa huko Cabo Delgado , Utulivu akili ndio silaha ya kumshinda adui , Wazungu wapo vzr kwny hiloHao NYETO sijui NATO wanaonea nchi za uarabunu na Africa ila when comes to RUSSIA lazima mkia ufyate kama mbwa koko
Kwanza kila nchi ya Ulaya ina Nukes, isitoshe imeshagundulika zana nyingi za Mrusi ni Obsolete, hana jipya, pili Mrusi ana silaha lakini hana mbinu za Kivita, mfumo wa jeshi lake sio wa kisasa, sasa hivi Vita vinapiganwa kwa Tekinolojia, Kabla haujalaunch hiyo Silaha yake atakuwa ameshashambuliwa, Kwa taarifa yako kupitia Vita hii Amejiexpose sana.Hivi EU watangaze vita na Urusi kisa Ukraine ambaye hata sio mwanachama wao?Kila nchi Huwa inaangalia maslahi na usalama wake kwanza!Unadhani nchi zilizo karibu na Urusi zitakubali ukizingatia nukes azomiliki Russia?
Mkuu twende pole pole tuliza jazba soma kipengele cha mwishoMleta mada tofautisha kati ya EU na NATO...
EU haina jeshi la pamoja hapo ni masuala ya kiuchumi na kijamii. Member wa EU wanajitegemea kila mmoja na jeshi lake.
NATO ndio wana jeshi ambalo ni baadhi ya nchi za ulaya pamoja na marekani.
So hakuna kitisho kwa usalama wa Russia kwa Ukraine kujiunga EU.
Na kumbuka kwenye EU mmoja wa superpower alishajitoa. Muingereza.
Nakushauri FUTA huu uzi.
We chiz kweli kwani Ukraine anapigana na mazombiMzee kama EU wamechoka kuishi au wameichoka dunia bhs wajidanganye kuingia vitani na Russia nahis watoto wetu kwenye history watakua wanafundishwa kulikua na bara linaitwa ulaya”
Hakuna nchi Ulaya inayoweza pigana na Russia direct hata US mwenyewe hana huo ubavu. Mnajua wengi mmedanganywa na propaganda za west kuhusu majeshi yao ila kiuhalisia ni kawaida sana.
Wengi wenu humu mmeanza kuijua Russia wakati wa kipindi hiki cha mgogoro na Ukraine.
VITA PEKEE EU WANAYOWEZA NI VIKWAZO.
Mkuu, si nchi za EU tu ambazo haziwezi ku-risk kuingia vitani na Urusi, hata Amerika haina ubavu wa kuingia vitani moja kwa moja na Urusi - they know military capabilities of them Russians should they decide to unleash their formidable weapons/missiles which western nations have no capabilities of intercepting them!!
Please revisit your skewed comments - kujibu jibu ovyo JF members, agree to disagree without offending anyone - Kama uwezi kutumia kauli za kistaarabu, basi hapa hapakufahi tafuta social media nyingine zinazo entertain abrasive language - Goodday.duh akili umeacha wap
Mali ipo chini ya mrusi ndio maana hata wanajeshi wa ufaransa wamefukuzwaMkuu twende pole pole tuliza jazba soma kipengele cha mwisho
Ulianzishwa mwaka 1991 juu ya msingi wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Ulaya.
Shabaha kuu zilikuwa kujenga uchumi wa pamoja, kuboresha maisha ya watu wa Ulaya na kuzuia vita kati ya nchi za Ulaya.
Pia umoja wa ulaya wanao uwezo wa kutoa msaada wa kijeshi ,japokua hawana muungano wa kijeshi ila linapokuja swala la kutoa msaada huunda jeshi la pamoja kutoa msaada hapo chini nimekupa mfano wa umoja wa ulaya katika kutoa msaada wa kijeshi
Umoja wa Ulaya unafanya mchakato wa kuanzisha jeshi la kuaminika nchini Mali, ambako waasi wenye itikadi kali ya Kiislamu wamelidhibiti eneo la kaskazini baada ya mapinduzi ya kijeshi nchini humo.
Mkuu nipe reference ya Umoja wa Ulaya as EU kuendesha operation ya kijeshi sehemu yeyote duniani...Mkuu twende pole pole tuliza jazba soma kipengele cha mwisho
Ulianzishwa mwaka 1991 juu ya msingi wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Ulaya.
Shabaha kuu zilikuwa kujenga uchumi wa pamoja, kuboresha maisha ya watu wa Ulaya na kuzuia vita kati ya nchi za Ulaya.
Pia umoja wa ulaya wanao uwezo wa kutoa msaada wa kijeshi ,japokua hawana muungano wa kijeshi ila linapokuja swala la kutoa msaada huunda jeshi la pamoja kutoa msaada hapo chini nimekupa mfano wa umoja wa ulaya katika kutoa msaada wa kijeshi
Umoja wa Ulaya unafanya mchakato wa kuanzisha jeshi la kuaminika nchini Mali, ambako waasi wenye itikadi kali ya Kiislamu wamelidhibiti eneo la kaskazini baada ya mapinduzi ya kijeshi nchini humo.
Kweli mkuu una uhakika?Mali ipo chini ya mrusi ndio maana hata wanajeshi wa ufaransa wamefukuzwa
Soma historia kijana, Wakubwa wa Ulaya huwa hawaikubali Urusi tangu enz na enz km Tz tusivyokubalika East Africa sabab ya kutotaka kucopy with others, Urusi ndo taifa pekee balani Ulaya lenye akili za Ki Asia (udikteta na utawala wa mabavu usiojali nin wananch wanataka, nguvu ya dola ipo mikononi mwa mtu mmoja, ona UK juz walikuwa wana mchallange Boris ila Bunge la Urusi halina kauli dhidi ya Putin, hiki ndo Mabeberu hawakitaki)
Mkuu nipe reference ya Umoja wa Ulaya as EU kuendesha operation ya kijeshi sehemu yeyote duniani...
Under the Common Security and Defence Policy (CSDP), the EU takes a leading role in peacekeeping operations, conflict prevention and the strengthening of international security. It is an integral part of the EU's comprehensive approach towards crisis management, drawing on civilian and military assets. Almost 4,000 women and men help to promote peace and security where needed, providing stability and building resilience in fragile environments. Since the first CSDP missions and operations were launched back in 2003, the EU has undertaken over 37 overseas operations, using civilian and military missions and operations in several countries in Europe, Africa and Asia. As of today, there are 18 ongoing CSDP missions and operations, 11 of which are civilian, and 7 military.Mkuu nipe reference ya Umoja wa Ulaya as EU kuendesha operation ya kijeshi sehemu yeyote duniani...
Kama nyinyi huwaga mnachekesha sana asee[emoji1787][emoji1787]Sasa wakati wa kumpiga muhuni umefika anazidi kuingia kwenye kumi na nane za wanaume sasa kashaelekezwa machinjioni.
Nazijua kanuni sana mkuu ,ila sijaongelea mahaba naongea uhalisia uliopo ,Mada umeileta kwa MAHABA sana bila kuzingatia kanuni na taratibu za EU na NATO. Unaamini au unajua EU ndio NAYO and viz versa.
Unayo mahaba sana na unaumizwa na kile anatendewa UKRAINE ni jambo jema. Lkani hakuna namna.
Urusi haiogopi wala sio hawajui hilo tusubiri kuna nchi zitaharibiwa vibaya na Urusi hata kama akishindwa vita
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app