Right Flower
Senior Member
- Jul 9, 2026
- 157
- 292
Nilishasema haya mahisa, maUTT sijui maBOND ya serikali kuna VILIO VINAKUJA watu wakanibeza. SIKU INAKUJA WAPENDA DEZO ETI UNAWEKA MILLION KADHAA BAADA YA MIAKA KADHAA UNAPATA BILLION KADHAA madai yao "sina muda ya kufungua na kusimamia biashara wala miradi"
kigezo cha sina muda yanajificha majinga na mamtu mavivu mavivu, sasa unajiuliza kama wewe huna muda NANI ATUMIE MUDA WAKE KUKUTAJIRISHA WEWE ?!!
aise kuna majinga mavivu ya kujishugulisha yatakuja kupigwa tukio hapa SIKU YAJA.
Na wakati huu naona maUTT yamepewa promo kali na manyumbu mengi sana yameiikia wito, majinga mengine mpaka yamekopa kwenye mabenk kwenea "kuwekeza UTT"
Kwa uchache tu mnakumbuka nyakati fulani mwendazake alivamia mabenk na kuchota fadha za wafanyabiashara, maduka ya kubadili fedha na mengine yalifilisika kabisa mpaka leo MNAKUMBUKA ?!
Sasa kama mtu anaweza kuiamuru benk ichope pesa za watu sembuse kuchota hela mlizoweka UTT ambako mnaweza kupewa sababu za uongo na kweli ?!
Kwa taifa letu ambalo kauli ya mtu mmoja ndio inafuatwa na sio taratibu na taasisi imara mnaweka fedha sijui mabond ya serikali nyie mnaakili kweli ?!!
TATIZO WATANZANIA WENGI NI WAVIVU NA WAJINGA SANAAA.
siku yaja !!