lost files
JF-Expert Member
- Apr 17, 2025
- 1,146
- 3,425
Yupo sahii kwa baadhi ya vitu alivyosema,na upo sahii pia ila Kuna mambo mnachanganya,Jatu,Desi,tofauti na UTT au bonds za serikali,UTT ipo backed na Serikali..Kweli lugha yake kali kidogo.
Lakini jibu la swali lako siyo salama kivipi ameshajibu.
Amekuambia nchi zetu hizi za hovyo watawala wanaweza kutoa tamko au maagizo ghafla pesa zenu zikapelekwa kufanya jambo lingine kisha ikawachukua miaka mingi mno kuja kulipwa au msilipwe kabisa.
Ushahidi, JATU, DESI, wastaafu wa EA Community, n.k.
Sijui bank ya wanawake pesa za wateja zimeishia wapi?! Wale ambao Amana zao zilizidi kiwango cha 1.5M.
Mfano mwingine Samia Infrastructure Bond wateja waliokuwa wamewekeza wakitegemea wataanza kutoa (withdraw coupon) faida yao ya quarterly wengine walishindwa kulipa ada za watoto baada ya malipo kucheleweshewa. Sijui walianza kulipwa lini.
Malipo ya kwanza yalipaswa kufanyika 10 Mei 2025, yaani takribani miezi 3 baada ya bond kuanza. Najua yalicheleweshwa ingawa CRDB au Serikali hawakutoa taarifa rasmi hadharani (public).
Kwa siasa zetu lolote linaweza kutokea(japo haijawahi and it's not likely)..
Risk ipo katika biashara au uwekezaji wowote ila kama tulivyosema unaweka pesa zako mahala ambapo kuna risk ndogo..
Kama mifumo ya kibank huamini kwa kiasi hicho basi weka hela chini ya godoro...