Haya mahisa na maUTT yenu Kuna vilio vinakuja, watu hawataamini

Nilishasema haya mahisa, maUTT sijui maBOND ya serikali kuna VILIO VINAKUJA watu wakanibeza. SIKU INAKUJA WAPENDA DEZO ETI UNAWEKA MILLION KADHAA BAADA YA MIAKA KADHAA UNAPATA BILLION KADHAA madai yao "sina muda ya kufungua na kusimamia biashara wala miradi"

kigezo cha sina muda yanajificha majinga na mamtu mavivu mavivu, sasa unajiuliza kama wewe huna muda NANI ATUMIE MUDA WAKE KUKUTAJIRISHA WEWE ?!!

aise kuna majinga mavivu ya kujishugulisha yatakuja kupigwa tukio hapa SIKU YAJA.

Na wakati huu naona maUTT yamepewa promo kali na manyumbu mengi sana yameiikia wito, majinga mengine mpaka yamekopa kwenye mabenk kwenea "kuwekeza UTT"

Kwa uchache tu mnakumbuka nyakati fulani mwendazake alivamia mabenk na kuchota fadha za wafanyabiashara, maduka ya kubadili fedha na mengine yalifilisika kabisa mpaka leo MNAKUMBUKA ?!

Sasa kama mtu anaweza kuiamuru benk ichope pesa za watu sembuse kuchota hela mlizoweka UTT ambako mnaweza kupewa sababu za uongo na kweli ?!

Kwa taifa letu ambalo kauli ya mtu mmoja ndio inafuatwa na sio taratibu na taasisi imara mnaweka fedha sijui mabond ya serikali nyie mnaakili kweli ?!!

TATIZO WATANZANIA WENGI NI WAVIVU NA WAJINGA SANAAA.

siku yaja !!
Kama huna fedha za kuwekeza kafue mbali, acha wivu wa maendeleo.

Maskini kulakulala huna mbele wala nyuma, inapoteza bando lako kuwashauri wenye fedha zao
 
Kwamba kusimamia biashara zangv mwenyewe nimekua mjinga kuliko nyime nnaoweka hela ili mje mdownload mabillion kadhaa baada ya miaka miwili. You are clearlly very stupid.

kwamba Mo au Bakresa wanaozalisha na kujenga uchumi wao hawajui elimu wewe ni mjanja wa kuweka na kuvuna mabillion ?!, ultraseptivelly stupid, very weak minded idiotic useless creature.
Hata hapa bado unaonekana mjinga ni wewe, tenga mda uelimike kwanza
 
Nilishasema haya mahisa, maUTT sijui maBOND ya serikali kuna VILIO VINAKUJA watu wakanibeza. SIKU INAKUJA WAPENDA DEZO ETI UNAWEKA MILLION KADHAA BAADA YA MIAKA KADHAA UNAPATA BILLION KADHAA madai yao "sina muda ya kufungua na kusimamia biashara wala miradi"

kigezo cha sina muda yanajificha majinga na mamtu mavivu mavivu, sasa unajiuliza kama wewe huna muda NANI ATUMIE MUDA WAKE KUKUTAJIRISHA WEWE ?!!

aise kuna majinga mavivu ya kujishugulisha yatakuja kupigwa tukio hapa SIKU YAJA.

Na wakati huu naona maUTT yamepewa promo kali na manyumbu mengi sana yameiikia wito, majinga mengine mpaka yamekopa kwenye mabenk kwenea "kuwekeza UTT"

Kwa uchache tu mnakumbuka nyakati fulani mwendazake alivamia mabenk na kuchota fadha za wafanyabiashara, maduka ya kubadili fedha na mengine yalifilisika kabisa mpaka leo MNAKUMBUKA ?!

Sasa kama mtu anaweza kuiamuru benk ichope pesa za watu sembuse kuchota hela mlizoweka UTT ambako mnaweza kupewa sababu za uongo na kweli ?!

Kwa taifa letu ambalo kauli ya mtu mmoja ndio inafuatwa na sio taratibu na taasisi imara mnaweka fedha sijui mabond ya serikali nyie mnaakili kweli ?!!

TATIZO WATANZANIA WENGI NI WAVIVU NA WAJINGA SANAAA.

siku yaja !!
Niambie nani ana mamlaka ya kuchukua hisa zangu pale Nmb, hujui kuhusu hisa, au unaamini benki kama nmb inaweza filisika? Yes risk ipo that's why nimeweka pesa huko, hakuna mtu mwenye mamlaka ya kuchukua hisa zangu ila tu bei za hisa zitashuka, na kwamba nikifungua biashara hayo hayata tokea? Akili yako bado ipo ndani ya box. Tafuta mtu akuelekeze kuhusu hisa na utt usije aibisha kizazi chako.
 
Hisa za JATU PLC mpaka leo wanahisa hawajalipwa na pess zao wanetapeliwa...mkurugenzi wa jatu yupo jela mwaka wa 4 huu
Jua kwanza utofauti wa ordinary share holder na preferences shareholder halafu uludi kuandika
 
Nilishasema haya mahisa, maUTT sijui maBOND ya serikali kuna VILIO VINAKUJA watu wakanibeza. SIKU INAKUJA WAPENDA DEZO ETI UNAWEKA MILLION KADHAA BAADA YA MIAKA KADHAA UNAPATA BILLION KADHAA madai yao "sina muda ya kufungua na kusimamia biashara wala miradi"

kigezo cha sina muda yanajificha majinga na mamtu mavivu mavivu, sasa unajiuliza kama wewe huna muda NANI ATUMIE MUDA WAKE KUKUTAJIRISHA WEWE ?!!

aise kuna majinga mavivu ya kujishugulisha yatakuja kupigwa tukio hapa SIKU YAJA.

Na wakati huu naona maUTT yamepewa promo kali na manyumbu mengi sana yameiikia wito, majinga mengine mpaka yamekopa kwenye mabenk kwenea "kuwekeza UTT"

Kwa uchache tu mnakumbuka nyakati fulani mwendazake alivamia mabenk na kuchota fadha za wafanyabiashara, maduka ya kubadili fedha na mengine yalifilisika kabisa mpaka leo MNAKUMBUKA ?!

Sasa kama mtu anaweza kuiamuru benk ichope pesa za watu sembuse kuchota hela mlizoweka UTT ambako mnaweza kupewa sababu za uongo na kweli ?!

Kwa taifa letu ambalo kauli ya mtu mmoja ndio inafuatwa na sio taratibu na taasisi imara mnaweka fedha sijui mabond ya serikali nyie mnaakili kweli ?!!

TATIZO WATANZANIA WENGI NI WAVIVU NA WAJINGA SANAAA.

siku yaja !!
Elimu elimu elimu, hivi mkuu unajua utt na soko la hisa linavyofanya kazi....?
 
Kwamba kusimamia biashara zangv mwenyewe nimekua mjinga kuliko nyime nnaoweka hela ili mje mdownload mabillion kadhaa baada ya miaka miwili. You are clearlly very stupid.

kwamba Mo au Bakresa wanaozalisha na kujenga uchumi wao hawajui elimu wewe ni mjanja wa kuweka na kuvuna mabillion ?!, ultraseptivelly stupid, very weak minded idiotic useless creature.
Mkuu acha kudanganya watu fanya utafiti.....bakhresa yupo soko la hisa kupitia kampuni ya twiga cement (tpcc).
 
Kwamba kusimamia biashara zangv mwenyewe nimekua mjinga kuliko nyime nnaoweka hela ili mje mdownload mabillion kadhaa baada ya miaka miwili. You are clearlly very stupid.

kwamba Mo au Bakresa wanaozalisha na kujenga uchumi wao hawajui elimu wewe ni mjanja wa kuweka na kuvuna mabillion ?!, ultraseptivelly stupid, very weak minded idiotic useless creature.

Kwamba kusimamia biashara zangv mwenyewe nimekua mjinga kuliko nyime nnaoweka hela ili mje mdownload mabillion kadhaa baada ya miaka miwili. You are clearlly very stupid.

kwamba Mo au Bakresa wanaozalisha na kujenga uchumi wao hawajui elimu wewe ni mjanja wa kuweka na kuvuna mabillion ?!, ultraseptivelly stupid, very weak minded idiotic useless creature.
😅😅😅😅😅 Ulivyo huna akili sasa, hiv i hujui kwamba hao jamaa ndio wanaumiliki mkubwa wa hisa kwa makampuni mengi hapa Tanzania
 
Kwa uchungu huo mkuu,nachelea kusema huna hela bank wala hujawekeza popote,una deni songesha na nipige tafu,kiufupi wewe ni hoehae kama mimi,huna kitu.

Mambo hayapo hivyo bwana mdogo...
Mkuu mbona unanisema
 
Tahadhari muhimu hasa kipindi hiki ambapo nchi ipo kwenye sintofahamu na Wahisani wake maana wakikata hela zao tuu lazima serikali ije ikwapue fedha za ndani na wanakimbiliaga kwenye mashirika yao.
Government bond ni less au no risk kwasababu serikali haijawahi kufiriska, umeshawahi kuskia madeni ya nje na ya ndani sasa ya ndani ndio hizo bond, bill hela kutoka kwa wananchi
 
ni kweli nina uchungu waTanzania wenzangu bado mu wajinga na wavivu na mtanyooshwa sana.

lakini sio kweli kua mimi ni fukara hapana. Nipe namba ya mkeo atakusimulia jinsi mimi sio fukara wa kipato, rasilimali na hata manii zipo za kumjaza kopo lake.
Mh
 
We bwana mdogo ni mpumbavu sana. Sehem gani yakuweka pesa ambayo haina risk? Bank zenyewe zinafilisika , nchi yenyewe inavunjika , biashara zenyewe zinakufa wewe mwenyewe ni risk kwanza ninani aliyekopa pesa akaweka UTT ? Kama yupo huyo mtu ni mpumbavu kama wewe. Halafu hakuna mahali UTT wanaweza kukutajirisha yani 12% kwa mwaka ikutajirishe? Yani uweke bilion moja upokee milion 10 kwa mwezi useme umetajirika? Sidhani kama.kuna mtu mwenye lengo la kutajirika anayeweka pesa UTT hizo ni sehemu za kutunza fedha na wala.sio sehemu yakutafuta utajiri . Pia nitoe wito kwa wanajukwaa kusomemesha watoto wao shule ili kuepusha mbuzi kama.hizi jukwaani
Kuhusu kukopa pesa benki na kuweka Utt n ujinga lakini naomba uniambie nchi ipi iliwahi kuvunjika ukiwa na maana ya kufiriska?
 
Haipo mkuu. Japo nikitu kinachoweza kutokea ndio maana hatusemi no risk bali tunasema free risk
 
Katumia nguvu nyingi kuita watu wajinga na wavivu zaidi ya ku spit facts na evidence how sio salama...
Kweli lugha yake kali kidogo.
Lakini jibu la swali lako siyo salama kivipi ameshajibu.
Amekuambia nchi zetu hizi za hovyo watawala wanaweza kutoa tamko au maagizo ghafla pesa zenu zikapelekwa kufanya jambo lingine kisha ikawachukua miaka mingi mno kuja kulipwa au msilipwe kabisa.

Ushahidi, JATU, DESI, wastaafu wa EA Community, n.k.
Sijui bank ya wanawake pesa za wateja zimeishia wapi?! Wale ambao Amana zao zilizidi kiwango cha 1.5M.

Mfano mwingine Samia Infrastructure Bond wateja waliokuwa wamewekeza wakitegemea wataanza kutoa (withdraw coupon) faida yao ya quarterly wengine walishindwa kulipa ada za watoto baada ya malipo kucheleweshewa. Sijui walianza kulipwa lini.

Malipo ya kwanza yalipaswa kufanyika 10 Mei 2025, yaani takribani miezi 3 baada ya bond kuanza. Najua yalicheleweshwa ingawa CRDB au Serikali hawakutoa taarifa rasmi hadharani (public).
 
mbona husemi wenye pesa zao kwenye mabenki ipo siku watalia.. UTT/BOT bond siyo DECI kuna sheria za fedha na usalama wake pamoja na Bima.. Pia ni njia ya kuhifadhi pesa na kuongeza kipato kwa wakati mmoja.. usimamizi wa biashara si rahisi kwa kila mmoja ila pia mzunguko wa biashara unaweza usiwe mkubwa kama pesa uliyonayo kwa wakati huo.. kuna sababu nyingi za kwa nini mtu huweka pesa bond.. ukipata elimu yake na kipato kikiwa chako kikiwa stable siyo kuungaunga utajua umuhimu wake...
 
Back
Top Bottom