Light Saber Imetosha Sasa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 5,182
- 9,586
Information Is power
Umeweka kiasi gani kama Principal?Very good deal. Achana na hizo pesa ndefu hivyo Mimi mwaka mzima napata 1.8 kwa ajili ya kusaidia ada za watoto. Principal yangu ipo pale pale.
Kuna namna mbili Kuna anayechukua faida yake Kila mwezi, kwa 100 m atapata 12m. Kwa miaka 6 atapata faida ya 68m.Inakuaje unapata double wakati Serikali inakupa rate ya 1% kwamba unajumlisha na kiasi ambacho umekiweka kama kianzio au inakuaje ebu nipe ufafanuzi kidogo
Nina 15 na point kidogo. Natamani nifike 50 one day. Kwa milioni 50 nitapata kama 6m kwa mwaka. Familia haitakaa njaa huku tukiendelea na mengine.Umeweka kiasi gani kama Principal?
UTT ni kwa wale waoweka pesa kubwa ndio utaona faida yake sio kwa hawa vijana wenye vipato vidogoMkuu umesema mara nyingi kuhusu biashara,swali biashara gani?au biashara sio risk?na hadi mtu kapata hela ya kutunza ambayo gawio ni sawa na hakuna,unafikiri hana shughuli nyingine ya kumuingizia kipato?au hiyo hela aliyowekeza katoa wapi??
Wewe umeweka kiasi gani?Kuna namna mbili Kuna anayechukua faida yake Kila mwezi, kwa 100 m atapata 12m. Kwa miaka 6 atapata faida ya 68m.
Kuna ambae hachukui Kila mwezi (ku-reinvest), yeye atapata faida ya 100m kwa miaka sita kwa sababu uwekezaji wake utakua zaidi ya 100 (Google about compounding interest).
All in all kitu km utt haitaki hela ndogo kama 1m kwa mfano.
Binafsi nasimesha watoto kupitia utt japo uwekezaji wangu sio mkubwa!
Mimi Nina 15 tu.Wewe umeweka kiasi gani?
Just kumweka sawa ye angesema utt haina faida ila suala la anguko la utt pengine atasubiri sana!Ids za UTT ninamshambulia mleta mada kwa kasi ya mabomu ya iran hii ni hatari kwa afya ya mleta mada
Uwekezaji hauna umri, hata vijana waliojipata mapema nao wamewekeza huko. Mtazamo wako wa mambo ni finyu sana.UTT ina faida kwa wale waliojipata hasa ukiweka hela kubwa kama hiyo kwa hawa vijana hiyo mil 50 anaupata wapi? Ndio maana huwa suala la UTT linaibua mvutano kwasababu Kuna wengine ni vijana na wenye vipato vidogo na kundi lingine ni la wa Makamo na Wazee
nifafanuliae hapo kimahesabuU
Ulisoma hesabu ndugu..? Ukiweka milioni 1 kwa sababu ya compound interest itachukua miaka 6 na miezi kadhaa hiyo pesa ku double. Ndio maana hapo juu sikutaka kuendeleza mjadala na wewe.
Tahadhari inahitajika mtoa mada yupo sahihiJust kumweka sawa ye angesema utt haina faida ila suala la anguko la utt pengine atasubiri sana!
Mfano ukiacha kwa hiyo mil 15 na usichukue faida kwa miaka 6 huwa inaongezeka tofauti na ile asilimia 1 unayopewa na Serikali?Mimi Nina 15 tu.
Faida ya utt kwa pesa kama hiyo labda niiache kwa miaka 25 bila kuchukua hata senti! Shida wabongo tunataka faida ndani ya mwaka masoko ya fedha ni long term hasa sisi wenye pesa fupi. Hata hivyo yangu Mimi nachukua
Mkuu fafanua vizuri principal ya 100m anapata 12m kwa mwezi au? SijaelewaKuna namna mbili Kuna anayechukua faida yake Kila mwezi, kwa 100 m atapata 12m. Kwa miaka 6 atapata faida ya 68m.
Kuna ambae hachukui Kila mwezi (ku-reinvest), yeye atapata faida ya 100m kwa miaka sita kwa sababu uwekezaji wake utakua zaidi ya 100 (Google about compounding interest).
All in all kitu km utt haitaki hela ndogo kama 1m kwa mfano.
Binafsi nasimesha watoto kupitia utt japo uwekezaji wangu sio mkubwa!
Inaongezeka 15. So nitakua na 30.Mfano ukiacha kwa hiyo mil 15 na usichukue faida kwa miaka 6 huwa inaongezeka tofauti na ile asilimia 1 unayopewa na Serikali?
Mwaka! Mwezi si ingekua balaa hiloMkuu fafanua vizuri principal ya 100m anapata 12m kwa mwezi au? Sijaelewa
Ok ..mean ukiwa na 100m kamili utapata 12m kwa mwaka? Right? Laki kwa mwezi? Hakuna makato hapo?Mwaka! Mwezi si ingekua balaa hilo
Sasa mkuu 12m kwa mwaka ni laki kwa mwezi?Ok ..mean ukiwa na 100m kamili utapata 12m kwa mwaka? Right? Laki kwa mwezi? Hakuna makato hapo?
Mkuu Sema tu huelewi mambo hayo,katika my whatsapp niliwaambia watu "hisa za crdb sasa hivi moja tsh 260,nunua hata za milion 1,after miaka 10 watoto zako watakuuliza 260tsh ilikua hela nyingi sana"???UTT ni kwa wale waoweka pesa kubwa ndio utaona faida yake sio kwa hawa vijana wenye vipato vidogo