Haya mahisa na maUTT yenu Kuna vilio vinakuja, watu hawataamini

Haya mahisa na maUTT yenu Kuna vilio vinakuja, watu hawataamini

UTT naona ni kupoteza muda mfano ukaweka million 10 maana yake kwa mwaka unapata million 1 kwa mwaka na kwa kila mwezi ni laki 1 itakuchukua miaka 10 kurudisha kiasi ulichoweka kwa akili timamu wewe unaona imekaa vizuri? Si Bora hata ukainvest kwenye kununua Real Estate
Ni 'Real Estate' zipi mtu mwenye 10M anaweza kuzinunuwa?

Basi tuseme kuwa ni viwanja kama kichwa chako kinavyo waza. Je? utahitaji miaka mingapi kuvishikilia huku ukisubili thamani yake iongezeke?

Ikiitafakari kwa kina iyo 👆 hoja hapo juu utajigunduwa kuwa uwezo wako wa akili upo chini ya kiwango cha kawaida.
 
UTT naona ni kupoteza muda mfano ukaweka million 10 maana yake kwa mwaka unapata million 1 kwa mwaka na kwa kila mwezi ni laki 1 itakuchukua miaka 10 kurudisha kiasi ulichoweka kwa akili timamu wewe unaona imekaa vizuri? Si Bora hata ukainvest kwenye kununua Real Estate
Umewahi kusikia msemo wa " Usiweke mayai yako yote kwenye kikapu kimoja?"
 
Kote ni risk, ufanye biashara au uwekeze.
Wafanyabiashara nao wanalalamika tozo, kodi na kupokwa maeneo yao kwa kauli za wanasiasa tu.

Kwahiyo kisa serikali ina watu wenye kutoa matamko basi tusifanye kitu kwa kuogopa hilo??

Hakuna ubaya kuwekeza huko, na sio uvivu kama unavyodai maana mpaka mtu anapata hiyo hela means sio mvivu, walau kafikiria kusave.
 
Umeongea vizuri sana mkuu. UTT sio fursa ya kutajirikia...bali kutunza tu pesa. Kuliko uweke hela bank ikaambatana na makato. Kwann husiweke tu UTT ambapo maybe in 1 year utaikuta oesa yako kama ilivyo, au japo imeongezeka kidogo. The same na kwenye hisa, japo kwenye hisa kama bei za soko zitashuka...basi utakuwa umengia hasara pia kidogo.

All in all, hisa na UTT ni kwa ajili ya mtu ambaye maybe anapesa zake za akiba ..na hataki kutakerisk kubwa kwenye kuwekeza kitu, maybe anaiweka pesa yake itulie kama ilivyo
Kama umeweka mil 1 means kwa mwaka unapata laki 1 kwa mwezi ni elfu 10 na itakuchukua miaka 10 kurudisha hela ulioinvest Sasa mpaka kimeongezeka Nini?
 
Nilishasema haya mahisa, maUTT sijui maBOND ya serikali kuna VILIO VINAKUJA watu wakanibeza. SIKU INAKUJA WAPENDA DEZO ETI UNAWEKA MILLION KADHAA BAADA YA MIAKA KADHAA UNAPATA BILLION KADHAA madai yao "sina muda ya kufungua na kusimamia biashara wala miradi"

kigezo cha sina muda yanajificha majinga na mamtu mavivu mavivu, sasa unajiuliza kama wewe huna muda NANI ATUMIE MUDA WAKE KUKUTAJIRISHA WEWE ?!!

aise kuna majinga mavivu ya kujishugulisha yatakuja kupigwa tukio hapa SIKU YAJA.

Na wakati huu naona maUTT yamepewa promo kali na manyumbu mengi sana yameiikia wito, majinga mengine mpaka yamekopa kwenye mabenk kwenea "kuwekeza UTT"

Kwa uchache tu mnakumbuka nyakati fulani mwendazake alivamia mabenk na kuchota fadha za wafanyabiashara, maduka ya kubadili fedha na mengine yalifilisika kabisa mpaka leo MNAKUMBUKA ?!

Sasa kama mtu anaweza kuiamuru benk ichope pesa za watu sembuse kuchota hela mlizoweka UTT ambako mnaweza kupewa sababu za uongo na kweli ?!

Kwa taifa letu ambalo kauli ya mtu mmoja ndio inafuatwa na sio taratibu na taasisi imara mnaweka fedha sijui mabond ya serikali nyie mnaakili kweli ?!!

TATIZO WATANZANIA WENGI NI WAVIVU NA WAJINGA SANAAA.

siku yaja !!
Wewe mtu wa Upatu na M-Koba, tulizana kwanza uelewe utaratibu wa Bonds.
Mambo haya hayakuanza na jana, yapo duniani zaidi ya miaka 400.
Sasa wewe unatoka Igunga huko na kuayingilia juu juu uatfikiri umeelewa.
Soma kwanza uelewe.
 
Nilishasema haya mahisa, maUTT sijui maBOND ya serikali kuna VILIO VINAKUJA watu wakanibeza. SIKU INAKUJA WAPENDA DEZO ETI UNAWEKA MILLION KADHAA BAADA YA MIAKA KADHAA UNAPATA BILLION KADHAA madai yao "sina muda ya kufungua na kusimamia biashara wala miradi"

kigezo cha sina muda yanajificha majinga na mamtu mavivu mavivu, sasa unajiuliza kama wewe huna muda NANI ATUMIE MUDA WAKE KUKUTAJIRISHA WEWE ?!!

aise kuna majinga mavivu ya kujishugulisha yatakuja kupigwa tukio hapa SIKU YAJA.

Na wakati huu naona maUTT yamepewa promo kali na manyumbu mengi sana yameiikia wito, majinga mengine mpaka yamekopa kwenye mabenk kwenea "kuwekeza UTT"

Kwa uchache tu mnakumbuka nyakati fulani mwendazake alivamia mabenk na kuchota fadha za wafanyabiashara, maduka ya kubadili fedha na mengine yalifilisika kabisa mpaka leo MNAKUMBUKA ?!

Sasa kama mtu anaweza kuiamuru benk ichope pesa za watu sembuse kuchota hela mlizoweka UTT ambako mnaweza kupewa sababu za uongo na kweli ?!

Kwa taifa letu ambalo kauli ya mtu mmoja ndio inafuatwa na sio taratibu na taasisi imara mnaweka fedha sijui mabond ya serikali nyie mnaakili kweli ?!!

TATIZO WATANZANIA WENGI NI WAVIVU NA WAJINGA SANAAA.

siku yaja !!
Nilishawahi kufikiria kuhusu kupigwa ila sio kwamba wanaoweka ni wazembe na wavivu.
 
Miaka inavyoenda kiasi cha faida kinaongezeka. Waza mtu anayeweka milioni 100. Ndani ya miaka 6 hiyo hela inakua double. Utt na masoko sio kitu cha kubeza. Wabongo tuache kutaka faida ya chapchap
Inakuaje unapata double wakati Serikali inakupa rate ya 1% kwamba unajumlisha na kiasi ambacho umekiweka kama kianzio au inakuaje ebu nipe ufafanuzi kidogo
 
Kama unaweka million 1 alafu unavuna elfu 10 kwa mwezi kwenye ile asilimia 1 ya serikali sifikirii hii itamnufaisha kijana mpambanaji na faida yako unaanza kuonekana baada ya miaka 10 Huna uhakika utakuwa hai si Bora hata awekeze mwenye biashara
Ukiona mtu ameweka hela huko, huyo hategemei hiyo riba imtajirishe. Hiyo ni namna ya kuweka akiba ya baadae akiwa mzee. Na mtu kama huyo ana mtaji mkubwa zaidi ya hela aliyoweka huko UTT
 
U
Kama unaweka million 1 alafu unavuna elfu 10 kwa mwezi kwenye ile asilimia 1 ya serikali sifikirii hii itamnufaisha kijana mpambanaji na faida yako unaanza kuonekana baada ya miaka 10 Huna uhakika utakuwa hai si Bora hata awekeze mwenye biashara
Ulisoma hesabu ndugu..? Ukiweka milioni 1 kwa sababu ya compound interest itachukua miaka 6 na miezi kadhaa hiyo pesa ku double. Ndio maana hapo juu sikutaka kuendeleza mjadala na wewe.
 
Ndugu yangu, kila mtu ana haki ya kuwa na mtazamo wake kuhusu uwekezaji, iwe ni hisa, UTT, bondi au biashara binafsi. Lakini hoja huwa zinajengwa kwa ushahidi, si kwa matusi.
Kuwaita watu "majinga", "manyumbu" au "wavivu" hakufanyi hoja yako iwe sahihi. Kinyume chake, kunadhoofisha hoja yenyewe na kunaua mjadala wenye tija.
Pili, hakuna uwekezaji usio na hatari. Biashara inaweza kufilisika, hisa zinaweza kushuka, bondi zinaweza kuathiriwa na mabadiliko ya uchumi, na hata fedha unazoweka benki zina hatari zake. Hilo ndilo maana ya diversification na usimamizi wa hatari.
Tatu, kusema "vilio vinakuja" bila kuonyesha takwimu, taarifa za kifedha, au uchambuzi wa kitaalamu ni utabiri tu, si uchambuzi. Kama una ushahidi kwamba kuna tatizo katika UTT au soko la mitaji, tuonyeshe kwa hoja na vielelezo ili tujifunze wote.
Mwisho, ni jambo la kusikitisha kuona tumefikia hatua ambapo mtu anayetoa maoni tofauti anaonekana mjinga. Taifa lenye maendeleo hujengwa kwa kuheshimu tofauti za mawazo, si kwa kutukanana. Leo unaweza kuwa sahihi, kesho ukakosea; na mwingine unayemdharau leo anaweza kuwa ndiye mwenye hoja sahihi kesho.
Tujadili kwa hoja, tuheshimiane, na tuache matusi. Elimu hujenga, kejeli hubomoa.
 
Nilishasema haya mahisa, maUTT sijui maBOND ya serikali kuna VILIO VINAKUJA watu wakanibeza. SIKU INAKUJA WAPENDA DEZO ETI UNAWEKA MILLION KADHAA BAADA YA MIAKA KADHAA UNAPATA BILLION KADHAA madai yao "sina muda ya kufungua na kusimamia biashara wala miradi"

kigezo cha sina muda yanajificha majinga na mamtu mavivu mavivu, sasa unajiuliza kama wewe huna muda NANI ATUMIE MUDA WAKE KUKUTAJIRISHA WEWE ?!!

aise kuna majinga mavivu ya kujishugulisha yatakuja kupigwa tukio hapa SIKU YAJA.

Na wakati huu naona maUTT yamepewa promo kali na manyumbu mengi sana yameiikia wito, majinga mengine mpaka yamekopa kwenye mabenk kwenea "kuwekeza UTT"

Kwa uchache tu mnakumbuka nyakati fulani mwendazake alivamia mabenk na kuchota fadha za wafanyabiashara, maduka ya kubadili fedha na mengine yalifilisika kabisa mpaka leo MNAKUMBUKA ?!

Sasa kama mtu anaweza kuiamuru benk ichope pesa za watu sembuse kuchota hela mlizoweka UTT ambako mnaweza kupewa sababu za uongo na kweli ?!

Kwa taifa letu ambalo kauli ya mtu mmoja ndio inafuatwa na sio taratibu na taasisi imara mnaweka fedha sijui mabond ya serikali nyie mnaakili kweli ?!!

TATIZO WATANZANIA WENGI NI WAVIVU NA WAJINGA SANAAA.

siku yaja !!
Jipe muda wa kujifunza.

Unaonekana una akili za kizamani kinoma.


UTT, Faida Fund yote ni MIFUKO YA SERIKALI.

Wote sehemu kubwa ya pesa zao wanawekza SERIKALINI.

Watu kama nyie ndio wapiga KURA wa Samia, maana hamjui chochote, hata hamjui DENI LA TAIFA linakujaje.
 
Mkuu unaweza ukawa na hoja nzuri ila umeiwasilisha kwa kutumia maneno makali na jazba kiasi kwamba hoja ya nguvu imepungua uwezo wake.

So far nakubaliana na wewe kwa mtu kujiwekekeza ktk maeneo kadhaa kuliko mambo ya hisa, sijui nini. Kuwekeza kwenye hayo mahisa unachopata 10% ni kidogo sana kuliko kile ambacho wengine wanakivuna kupitia pesa yako.

Usalama wa Pesa za watu huko unaweza ukawepo ndio maana kuna makampuni mengi na matajiri wanaonunua HISA huko NICOL, UTT nk
 
Ndio ajue kua wanaoweka hela UTT sio wajinga..me UTT nimeweka hela hili inilipie kodi ya nyumba tu..

Fikiria unaweka mahala million 50 ambayo huna kazi nayo,ipo safe 99.99,ukiitaka unaichukua muda wowote,but ilipo kila mwezi inakuingizia 558,000/= tsh ambayo unalipa kodi..

Huku una biashara or kazi nyingine inakuingizia kipato,hiyo sio good deal??.

financial illiteracy Tatizo kubwa kwa watanzania ndio maana watu wengi wanazeeka masikini,hii mada kwa karne hii ya utandawazi haikutakiwa kujadiliwa kwa mlengo huu...
UTT ina faida kwa wale waliojipata hasa ukiweka hela kubwa kama hiyo kwa hawa vijana hiyo mil 50 anaupata wapi? Ndio maana huwa suala la UTT linaibua mvutano kwasababu Kuna wengine ni vijana na wenye vipato vidogo na kundi lingine ni la wa Makamo na Wazee
 
Back
Top Bottom