Haya mahisa na maUTT yenu Kuna vilio vinakuja, watu hawataamini

Haya mahisa na maUTT yenu Kuna vilio vinakuja, watu hawataamini

nifafanuliae hapo kimahesabu
Kihesabu nikwamba kila mwaka mtaji utakuwa unabadilika kulingana na interest utakayokuwa unaipata 12% .
Kumbuka kwa hiyo interest huyu muwekezaji mwisho wa mwaka mtaji utakuwa milioni 1 laki na ishirini.
Mwaka unaofata ataanza na 1,120,000 kwa hiyo ukipiga hapo tena kwa 12% itakuwa inajiongeza hivyo hivyo kila mwaka. Ndani ya miaka 6 itakuwa imedouble
 
Shida iliyopo ni kwamba mtoa mada anaokota taarifa vijiweni na kuzitransform into meaning in real life. Tusidanganyane et umenunua hisa za kampuni bora kama NMB, CRDB, TCC, TBL Etc eti serikali ije ikunyanganye share zako ulizonunua....Kifupi ni kwamba jipe elimu kuhusu haya mambo, coz hayajaanza leo wala jana. usiwadanganye watu kwa taarifa zako potofu. Pili usifananishe biashara na uwekezaji. Sio kila mtu anaweza kuwa mfanyabiashara.
 
Yaani iko hivi kwenye UTT huwa wanatoa 1% kila mwisho wa mwezi kwenye hela ulioinvest mfano ukiweka mil 10, kwa mwezi unapata laki 1 kwa mwaka inakua mil 1 kwa maana nyingine itakuchukua miaka 10 kurudisha kiasi cha fedha ulioinvest Tunahita kitaaluma PAYBACK PERIOD wewe unavyoona hapo imekaa sawa?
Hapana.
Sasa hapo nimekuelewa vizuri sana.
Mafanikio ya muda mrefu sana
 
Tusilolijua ni kwamba wengi wanaomiliki Hisa na collective investment kama UTT Wanamiliki pia biashara, real estate na side hustle zingine.
Kuendelea kudhani wanawekeza Kwenye MAHISA NA MAUTT, haitakusaidia kitu kwani wanaujua mchezo wa pesa kuliko kawaida.
 
Kihesabu nikwamba kila mwaka mtaji utakuwa unabadilika kulingana na interest utakayokuwa unaipata 12% .
Kumbuka kwa hiyo interest huyu muwekezaji mwisho wa mwaka mtaji utakuwa milioni 1 laki na ishirini.
Mwaka unaofata ataanza na 1,120,000 kwa hiyo ukipiga hapo tena kwa 12% itakuwa inajiongeza hivyo hivyo kila mwaka. Ndani ya miaka 6 itakuwa imedouble
Mwamba nimekupata vizuri sana umeshanikumbusha mambo ya compound interest nilikuwa nimesahau mkuu.
 
Aise achana na Mimi! Nitakuloga kima we!
Ndio yamekuwa hayo! Navyojua Mimi mfano ukiwa na Principal ya mil 1 kwa mwaka unakuwa na 120,000 bila kutoa faida ukienda mwaka mwingine unachukua ile uliomalizia ambayo ni 120,000 + Principal yako ambayo ni 1,000,000 unapata 1,120,000 ndio inakuwa principal yako wa mwaka mwingine
 
Upo sahihi. Sasa ikienda hivyo Ina maana faida ya mwaka wa pili itaongezeka kidogo haitakua tena 120k.

Hivyo hivyo mwaka wa tatu. After six years hela yako itakua imedouble.
 
Ndio yamekuwa hayo! Navyojua Mimi mfano ukiwa na Principal ya mil 1 kwa mwaka unakuwa na 120,000 bila kutoa faida ukienda mwaka mwingine unachukua ile uliomalizia ambayo ni 120,000 + Principal yako ambayo ni 1,000,000 unapata 1,120,000 ndio inakuwa principal yako wa mwaka mwingine
Upo sahihi. Sasa ikienda hivyo Ina maana faida ya mwaka wa pili itaongezeka kidogo haitakua tena 120k.

Hivyo hivyo mwaka wa tatu. After six years hela yako itakua imedouble
 
Ni 'Real Estate' zipi mtu mwenye 10M anaweza kuzinunuwa?

Basi tuseme kuwa ni viwanja kama kichwa chako kinavyo waza. Je? utahitaji miaka mingapi kuvishikilia huku ukisubili thamani yake iongezeke?

Ikiitafakari kwa kina iyo 👆 hoja hapo juu utajigunduwa kuwa uwezo wako wa akili upo chini ya kiwango cha kawaida.
Kabisa!!!!
 
Diversification muhimu kwenye uchumi, US Tu ilitokea Crush watu wakaliwa vichwa na hisa zao, vulnerability ipo sehemu yoyote Ile duniani, kwenye uchumi wa Aina ya TZ ni muhimu kuweka mayai makapu tofauti....
 
Back
Top Bottom