Haya mahisa na maUTT yenu Kuna vilio vinakuja, watu hawataamini

We bwana mdogo ni mpumbavu sana. Sehem gani yakuweka pesa ambayo haina risk? Bank zenyewe zinafilisika , nchi yenyewe inavunjika , biashara zenyewe zinakufa wewe mwenyewe ni risk kwanza ninani aliyekopa pesa akaweka UTT ? Kama yupo huyo mtu ni mpumbavu kama wewe. Halafu hakuna mahali UTT wanaweza kukutajirisha yani 12% kwa mwaka ikutajirishe? Yani uweke bilion moja upokee milion 10 kwa mwezi useme umetajirika? Sidhani kama.kuna mtu mwenye lengo la kutajirika anayeweka pesa UTT hizo ni sehemu za kutunza fedha na wala.sio sehemu yakutafuta utajiri . Pia nitoe wito kwa wanajukwaa kusomemesha watoto wao shule ili kuepusha mbuzi kama.hizi jukwaani
Umeongea vizuri sana mkuu. UTT sio fursa ya kutajirikia...bali kutunza tu pesa. Kuliko uweke hela bank ikaambatana na makato. Kwann husiweke tu UTT ambapo maybe in 1 year utaikuta oesa yako kama ilivyo, au japo imeongezeka kidogo. The same na kwenye hisa, japo kwenye hisa kama bei za soko zitashuka...basi utakuwa umengia hasara pia kidogo.

All in all, hisa na UTT ni kwa ajili ya mtu ambaye maybe anapesa zake za akiba ..na hataki kutakerisk kubwa kwenye kuwekeza kitu, maybe anaiweka pesa yake itulie kama ilivyo
 
We bwana mdogo ni mpumbavu sana. Sehem gani yakuweka pesa ambayo haina risk? Bank zenyewe zinafilisika , nchi yenyewe inavunjika , biashara zenyewe zinakufa wewe mwenyewe ni risk kwanza ninani aliyekopa pesa akaweka UTT ? Kama yupo huyo mtu ni mpumbavu kama wewe. Halafu hakuna mahali UTT wanaweza kukutajirisha yani 12% kwa mwaka ikutajirishe? Yani uweke bilion moja upokee milion 10 kwa mwezi useme umetajirika? Sidhani kama.kuna mtu mwenye lengo la kutajirika anayeweka pesa UTT hizo ni sehemu za kutunza fedha na wala.sio sehemu yakutafuta utajiri . Pia nitoe wito kwa wanajukwaa kusomemesha watoto wao shule ili kuepusha mbuzi kama.hizi jukwaani
Kwahiyo mkuu unaweka mil 10 ili upate laki 1 kwa mwezi au upate mil 1 kwa mwaka au usubiri miaka kadhaa ambayo bado hairudishi investment ulioweka tofauti na miaka 10 wewe hiyo unaona imekaa sawa hasa kwa kijana mwenye nguvu?
 
Nilishasema haya mahisa, maUTT sijui maBOND ya serikali kuna VILIO VINAKUJA watu wakanibeza. SIKU INAKUJA WAPENDA DEZO ETI UNAWEKA MILLION KADHAA BAADA YA MIAKA KADHAA UNAPATA BILLION KADHAA madai yao "sina muda ya kufungua na kusimamia biashara wala miradi"

kigezo cha sina muda yanajificha majinga na mamtu mavivu mavivu, sasa unajiuliza kama wewe huna muda NANI ATUMIE MUDA WAKE KUKUTAJIRISHA WEWE ?!!

aise kuna majinga mavivu ya kujishugulisha yatakuja kupigwa tukio hapa SIKU YAJA.

Na wakati huu naona maUTT yamepewa promo kali na manyumbu mengi sana yameiikia wito, majinga mengine mpaka yamekopa kwenye mabenk kwenea "kuwekeza UTT"

Kwa uchache tu mnakumbuka nyakati fulani mwendazake alivamia mabenk na kuchota fadha za wafanyabiashara, maduka ya kubadili fedha na mengine yalifilisika kabisa mpaka leo MNAKUMBUKA ?!

Sasa kama mtu anaweza kuiamuru benk ichope pesa za watu sembuse kuchota hela mlizoweka UTT ambako mnaweza kupewa sababu za uongo na kweli ?!

Kwa taifa letu ambalo kauli ya mtu mmoja ndio inafuatwa na sio taratibu na taasisi imara mnaweka fedha sijui mabond ya serikali nyie mnaakili kweli ?!!

TATIZO WATANZANIA WENGI NI WAVIVU NA WAJINGA SANAAA.

siku yaja !!
Sifa ya mtu yeyote mwenye akili ni pamoja na kuwa na wasiwasi(Tahadhari).

Ingawa umetumia lugha ya hovyo lakini kichwani kwako 'zimo'. Usipuuzwe!
 
Kwahiyo mkuu unaweka mil 10 ili upate laki 1 kwa mwezi au upate mil 1 kwa mwaka au usubiri miaka kadhaa ambayo bado hairudishi investment ulioweka tofauti na miaka 10 wewe hiyo unaona imekaa sawa hasa kwa kijana mwenye nguvu?
Mimi nimeshangaa huyo anayesema watu wanatafuta utajiri kwa kuweka pesa UTT ndipo nikamuuliza 12% inatosha kutajirisha?
 
Yaani iko hivi kwenye UTT huwa wanatoa 1% kila mwisho wa mwezi kwenye hela ulioinvest mfano ukiweka mil 10, kwa mwezi unapata laki 1 kwa mwaka inakua mil 1 kwa maana nyingine itakuchukua miaka 10 kurudisha kiasi cha fedha ulioinvest Tunahita kitaaluma PAYBACK PERIOD wewe unavyoona hapo imekaa sawa?
Uwekezaji gani unakuhakikishia safety angalau 70% na inatoa return 30% ya Uwekezaji wako??
 
Kwahiyo mkuu unaweka mil 10 ili upate laki 1 kwa mwezi au upate mil 1 kwa mwaka au usubiri miaka kadhaa ambayo bado hairudishi investment ulioweka tofauti na miaka 10 wewe hiyo unaona imekaa sawa hasa kwa kijana mwenye nguvu?
Huyo kijana mwenye nguvu akiweka huko pesa, anakutegema wewe kwa chakula? Anakuja kwako kuomba mavazi na malazi?
 
Uwekezaji gani unakuhakikishia safety angalau 70% na inatoa return 30% ya Uwekezaji wako??
Hicho kitu akipo ,, asilimia 30% lazima uwe kwenye risk na sio safety unayoitaka. Risk ndio maendeleo yenyewe. Yani ufanye biashara ya milion 10 upate faida milion 3 kwa mwezi halafu risk isiwepo ? Hiyo biashara haipo 😂
 
Kwahiyo mkuu unaweka mil 10 ili upate laki 1 kwa mwezi au upate mil 1 kwa mwaka au usubiri miaka kadhaa ambayo bado hairudishi investment ulioweka tofauti na miaka 10 wewe hiyo unaona imekaa sawa hasa kwa kijana mwenye nguvu?
Miaka inavyoenda kiasi cha faida kinaongezeka. Waza mtu anayeweka milioni 100. Ndani ya miaka 6 hiyo hela inakua double. Utt na masoko sio kitu cha kubeza. Wabongo tuache kutaka faida ya chapchap
 
Hicho kitu akipo ,, asilimia 30% lazima uwe kwenye risk na sio safety unayoitaka. Risk ndio maendeleo yenyewe. Yani ufanye biashara ya milion 10 upate faida milion 3 kwa mwezi halafu risk isiwepo ? Hiyo biashara haipo 😂
Ndio ajue kua wanaoweka hela UTT sio wajinga..me UTT nimeweka hela hili inilipie kodi ya nyumba tu..

Fikiria unaweka mahala million 50 ambayo huna kazi nayo,ipo safe 99.99,ukiitaka unaichukua muda wowote,but ilipo kila mwezi inakuingizia 558,000/= tsh ambayo unalipa kodi..

Huku una biashara or kazi nyingine inakuingizia kipato,hiyo sio good deal??.

financial illiteracy Tatizo kubwa kwa watanzania ndio maana watu wengi wanazeeka masikini,hii mada kwa karne hii ya utandawazi haikutakiwa kujadiliwa kwa mlengo huu...
 
Very good deal. Achana na hizo pesa ndefu hivyo Mimi mwaka mzima napata 1.8 kwa ajili ya kusaidia ada za watoto. Principal yangu ipo pale pale.
 
Back
Top Bottom