Right Flower
Senior Member
- Jul 9, 2026
- 157
- 292
Milio itaongezeka kadri muda unavyosonga, wajinga ndio waliwao. Asante kwa taarifaHisa za JATU PLC mpaka leo wanahisa hawajalipwa na pess zao wanetapeliwa...mkurugenzi wa jatu yupo jela mwaka wa 4 huu
ni kweli nina uchungu waTanzania wenzangu bado mu wajinga na wavivu na mtanyooshwa sana.Kwa uchungu huo mkuu,nachelea kusema huna hela bank wala hujawekeza popote,una deni songesha na nipige tafu,kiufupi wewe ni hoehae kama mimi,huna kitu.
Mambo hayapo hivyo bwana mdogo...
Mambo yapoje bwana mkubwa?Kwa uchungu huo mkuu,nachelea kusema huna hela bank wala hujawekeza popote,una deni songesha na nipige tafu,kiufupi wewe ni hoehae kama mimi,huna kitu.
Mambo hayapo hivyo bwana mdogo...
Duh yamekuwa hayo Tena๐คni kweli nina uchungu waTanzania wenzangu bado mu wajinga na wavivu na mtanyooshwa sana.
lakini sio kweli kua mimi ni fukara hapana. Nipe namba ya mkeo atakusimulia jinsi mimi sio fukara wa kipato, rasilimali na hata manii zipo za kumjaza kopo lake.
Kwamba kusimamia biashara zangv mwenyewe nimekua mjinga kuliko nyime nnaoweka hela ili mje mdownload mabillion kadhaa baada ya miaka miwili. You are clearlly very stupid.Mtoa mada unawaweza kuta we ndo mjinga kuliko hawa wawekezaji wa UTT
Tenga muda uelimike kwanza
Ujinga wake upo wapi, na amekupa mifano iliyo hai kabisa kuhusu power ya Rais wetu juu ya katiba na sheria za nchi au kipindi Jiwe anafanya ukwapuaji kwenye akaunti za watu na Bureau de Change kikosi kazi kikiongozwa na Bashite ulikuwa bado unanyonya?Mtoa mada unawaweza kuta we ndo mjinga kuliko hawa wawekezaji wa UTT
Tenga muda uelimike kwanza
Vipi Bibie mbona waguna
Sijaingia na wananitishaVipi Bibie mbona waguna
Ameongea jambo ambalo hana uelewa nalo au anafikiri hayo mambo yameanza mwaka juzi,uwekezaji huo una zaidi ya miaka 20 Tanzania,.Mambo yapoje bwana mkubwa?
Anaguna jinsi mazoba mnavyojiandaa "kuvuna mabilion" baada ya "uwekezaji wenu wa hela mlizokopa"Vipi Bibie mbona waguna