I Feel you Son!Hujui unachosema kuna mambo mengi nimeficha hapo sijayaweka wazi kwa hio hujui nilichokiandika, unaona Giza.
hata mimi naona ni wivu unamsumbua.mwanzoni umesema amepambana sana hadi kufikia hatua ya kwenda kusomea folks lift, kubadilisha na kupambania jina lake na kuamua kutumia lilelile, kukubalika na mabosi hadi kupewa connection. mwishoni unasema uchawi 😂
punguza wivu kijana endelea kupambania kombe zamu yako itafika Na wewe
Hayo uliyoficha ndio ungeweka sasa watu wajue uchawi umeingiaje maana umeelezea hustling zake weeee afu ukahitimisha na uchawiHujui unachosema kuna mambo mengi nimeficha hapo sijayaweka wazi kwa hio hujui nilichokiandika, unaona Giza.
sawa kiongozi ila unahitaji kujifinza kwa waliofanikiwa acha wivu hauleti maendeleoHujui unachosema kuna mambo mengi nimeficha hapo sijayaweka wazi kwa hio hujui nilichokiandika, unaona Giza.
Kwahiyo unataka tuamini pamoja na hustling zooote alizofanya na kwenda kusoma ili apate cheti cha ujuzi apate ajira bado unaamini uchawi tu!Hapo ndipo nilipoficha kwa haujui unaona Giza tu. Hio ni episode nyingine.
Hayana kanuni maalum!Umewahi kuamini kwenye Giza na nguvu zake? Km hujawahi na huamini basi tambua wapo wanaoishi na hizo nguvu.