Wewe pambana ujiwekee nafasi nzuribya kutusua achana na mambo ya kuhisi watu vibaya ...Kama ipo ipo hata miili ya binadamu imeumbwa kwa ajili ya kufanya kazi.It's not about hustling at all. Kuna watu wanapiga hustling za jabu na hawatoboi popote. Amini kwamba.
Vyote zipo pia hazipo!!Hahaha imebidi nicheke kidogo. Wewe unaamini zipo au hazipo?
Hakuna maisha ya giza wala kivuli ni mambo ya kuamini tu.Achana na hizo HabariHivi umekielewa ulichokiandika au umenielewa nilichokiandika? Umewahi kuishi maisha ya Giza? Km hujawahi na haujui chochote kuhusu Giza na nguvu zake tutachelewa sana maongezi hapa wanaoelewa wameelewa nimeandika nini. Kibaya zaidi sizungumzii bahati ndio maana vitu vingi nimeficha kwa hio nimekuacha Gizani. Nimekupa hints na short summary tu sio full story.