Haya Maisha ni Kitendawili Kigumu kweli kukitegua na Mambo yamebadirika sana

Hayana kanuni maalum!

Kuna watu Wana bahati,wengine hardwoker Kwa sana lakini hawatoboi !wengine hawana kanuni wameamua wabaki hivyo hivo mradi kuna kucha!
Hahaha imebidi nicheke kidogo. Wewe unaamini zipo au hazipo?
 
It's not about hustling at all. Kuna watu wanapiga hustling za jabu na hawatoboi popote. Amini kwamba.
Wewe pambana ujiwekee nafasi nzuribya kutusua achana na mambo ya kuhisi watu vibaya ...Kama ipo ipo hata miili ya binadamu imeumbwa kwa ajili ya kufanya kazi.

Bahati ipo na itaendelea kuwepo...
 
Hahaha imebidi nicheke kidogo. Wewe unaamini zipo au hazipo?
Vyote zipo pia hazipo!!
Kuna watu juhudi kubwa lakini hamna kitu!wengine anagusa tu mkeka una tick!wengine wao mradi anakula na kuvaa Wala Hana Kimi mission za kufanikiwa Santa Wala mipango!!yaani wapo wapo tu!
 
Hakuna maisha ya giza wala kivuli ni mambo ya kuamini tu.Achana na hizo Habari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…