PostGE2025 Haya majaribio ya vurugu nchini yatumike kama kipimo Cha UBORA wa Majeshi yetu Tanzania

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Kimbesa11

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2015
Posts
4,648
Reaction score
2,706
Kamwe vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama visimuonee haya mleta vurugu yyte nchini, Dunia inatuangalia na kutathimini UBORA wa Majeshi yetu.

Sasa si muda wa kuwachekea Hawa vibaka na panya road ambao wanatishia amani ya nchi yetu.

Tanzania ionyeshe Dunia kuwa hakuna nafasi ya kufanya vurugu nchini kuwa Amani Tanzania ni tunu ya Taifa kamwe haichezewi.

Shime Majeshi yetu yote nchini fanyeni Jambo ambalo wafanya vurugu wote hawatathubutu kufanya vurugu.

NB: Tunaomba vyombo vyote vya ulinzi na Usalama vishirikiane kulinda na kutetea amani ya Tanzania yetu
 
Jeshi lolote duniani linalogeuzia Raia wake BUNDUKI, siyo JESHI.

Ni MILITIA.
 
Hakuna serikali wala vyombo vya ulinzi kwenye utawala uliojisimika kama utashindana na nguvu za wananchi,ukatoboa,kama siraha si ni za kutafuta,emu acha ujinga,pumbafu wewe
Kama tuliikomboa nchi kutoka kwa vita ya Uganda unadhani tutawashindwa nyie vibaka
 
Jeshi lolote duniani linalogeuzia Raia wake BUNDUKI, siyo JESHI.

Ni MILITIA.
Ni muda Sasa wa kuionyesha Dunia kuwa jeshi la Tanzania halina mzaha na amani ya Tanzania
 
Damu za wale waliopigwa risasi zilimwagika kwenye mchanga na udongo wa ardhi zikafyonzwa na ardhi.. unaelewa maana yake ni nini?
Ukisikia aman ya Taifa letu haichezewi uwe unaelewa
 
Yaan vyombo vya ulinzi vipambane na wananchi???Najua ww ni chawa ila nikukumbushe tu juzi waziri wako alisahau kuelezea uharibifu wa vituo vya kupigia kura😀😀😀au hivyo havikuharibiwa maana nyie watu kwa kujizima data hamjambo
 
Ubora tukimuua mamaako sio. Wajua ni watu wangapi wameuawa. Ubora wa jeshi letu tutauonyesha kwenye familia yako
Kwamba vibaka wawe tishio la amani Nchin acha akili za kipumbavu hzo
 
Kamwe vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama visimuonee haya mleta vurugu yyte nchini, Dunia inatuangalia na kutathimini UBORA wa Majeshi yetu.
Sasa si muda wa kuwachekea Hawa vibaka na panya road ambao wanatishia amani ya nchi yetu.
Tanzania ionyeshe Dunia kuwa hakuna nafasi ya kufanya vurugu nchini kuwa Amani Tanzania ni tunu ya Taifa kamwe haichezewi.
Shime Majeshi yetu yote nchini fanyeni Jambo ambalo wafanya vurugu wote hawatathubutu kufanya vurugu.
NB: Tunaomba vyombo vyote vya ulinzi na Usalama vishirikiane kulinda na kutetea amani ya Tanzania yetu
Ccm na polisi wameteka, wametesa, wamepoteza na kuua ndugu zetu kwa miaka mingi, hao vyombo vya ulinzi wako wapi?

Mtakoma na mtatema kila kilicho chetu na tuta waponda vichwa kama koboko.

Kuleni kwa muda saa zenu zina karibia, sisi hatutawatesa tutawaua kwa kuwasaidia msipate maumivu.

CCM na Polisi hakuna mtakapotubu mkasikilizwa, subirini siku itakapofika mtashangaa.

Kuimba kwa zamu.
 
Back
Top Bottom