PostGE2025 Haya majaribio ya vurugu nchini yatumike kama kipimo Cha UBORA wa Majeshi yetu Tanzania

PostGE2025 Haya majaribio ya vurugu nchini yatumike kama kipimo Cha UBORA wa Majeshi yetu Tanzania

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ubarikiwe mzalendo, jeshi la polisi lisicheke na magaidi
 
Kamwe vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama visimuonee haya mleta vurugu yyte nchini, Dunia inatuangalia na kutathimini UBORA wa Majeshi yetu.

Sasa si muda wa kuwachekea Hawa vibaka na panya road ambao wanatishia amani ya nchi yetu.

Tanzania ionyeshe Dunia kuwa hakuna nafasi ya kufanya vurugu nchini kuwa Amani Tanzania ni tunu ya Taifa kamwe haichezewi.

Shime Majeshi yetu yote nchini fanyeni Jambo ambalo wafanya vurugu wote hawatathubutu kufanya vurugu.

NB: Tunaomba vyombo vyote vya ulinzi na Usalama vishirikiane kulinda na kutetea amani ya Tanzania yetu
Hivyo vyombo vije na ushahidi wa wapi kura 31m zimetokea, kinyume na hapo hatutoki barabarani hadi kiieleweke.
 
Hivyo vyombo vije na ushahidi wa wapi kura 31m zimetokea, kinyume na hapo hatutoki barabarani hadi kiieleweke.
Mtatoka TU hebu jaribuni muone 🔥 TANZANIA haichezewi na panya road
 
Kwamba hao wananchi ni vibaka? Nchi nzima wanaolalamika ni vibaka?

🤣
Vibaka ni Hawa wanaochoma Mali za watu, wanaoiba Mali za watu, wanaobomoa nyumba za watu, wanaochoma miundombinu yetu, wanaochoma vituo vya polis Hawa watu si wakucheka nao .
Hawa ilifaa wamiminiwe risasa palepale bila huruma
 

Attachments

  • Mapung_o_20251104_1_new.mp4
    1.6 MB
  • Irene_Darton_20251105_1_new.mp4
    925.9 KB
Hayo mambo huwezi kumkuta ngosha anayo.Mtu yoyote anae shabikia uovu huo kua ***** ni rahisi
AU vipi kwamba ngosha wote unaishi nao na unawajua tabia zao.
Hayo mambo hayana ukabila yanatokea tu kama ukilema ni kama vile mtoto anapozaliwa mwanamke lakini kafanana na Baba yake copyright ,kwahyo tumshukru Mungu kwa kuwa vzuri
 
Kuna watu wamekamatwa mitaan tu na hawakuwah kuandamana
Inachezewa na majizi ya kura? Mlipora uchaguzi mkadhani mtajiweka madarakani kwa damu ya ndugu zetu kirahisi? Safari hii tutazika wote. Location za hao maaskari na familia zao wote tunazo.
 
Inachezewa na majizi ya kura? Mlipora uchaguzi mkadhani mtajiweka madarakani kwa damu ya ndugu zetu kirahisi? Safari hii tutazika wote. Location za hao maaskari na familia zao wote tunazo.
Utazikwa wewe kabla ya wao.
 
Back
Top Bottom