Wewe jamaa huwa unaandika upumbavu sana hata kule X, katika machawa ambao ni watu wazima ovyo wewe naye ni mmoja wao.
Kwanza hapa nchini hatuna majeshi, bali tuna vikundi tu vinavyojua kutumia silaha za moto ambavyo viko kwa ajili ya kulinda serikali ya genge la wahuni inayoongozwa na shetani jike samia.
Eti vyombo vya ulinzi vioneshe uimara wake, yaani uimara wa jeshi unaupima kwa kupambana na civilians wasiokuwa na silaha? Sasa hilo ni jeshi au kikundi cha wana mgambo tu ambacho kipo kuwalinda mafisadi?
Mmeua maelfu ya civilians kiholela tena wakiwa wana emea mahitaji ya familia zao kwenye magenge na maduka, halafu mnakuja kuhalalisha mauaji hayo kwa kuwaita hao mliowaua eti ni wahalifu? sijui vibaka? Hivi mna Mungu kweli nyie wapumbavu nyie?
Yaan watu mmewafuata majumbani mwao kwenda kuwapiga risasi kisha wale walioenda mahospitalini wakiwa na majeraha mkaenda kuwamaliza huko huko, halafu maiti zao mkaenda kuzifukia kama mizoga... hivi ni binadamu wenzetu kweli nyie?
Yaan mmefanya huo unyama wote hili tu yule shetani wa kizanzibar aendelee kubaki pale juu kwa maslahi ya mafisadi na nyie wala makombo?
Hakika anguko lenu litakuwa ni baya sana nyie mashetani na itakuwa ni fundisho kwa watawala wadhalimu wote wa Afrika.
Eti "amani" jinga kweli wewe, amani ipi hiyo mnayoilinda kwa kulipasua taifa