Umemzibua mara moja bila kumchekea..Hakuna serikali wala vyombo vya ulinzi kwenye utawala uliojisimika kama utashindana na nguvu za wananchi,ukatoboa,kama siraha si ni za kutafuta,emu acha ujinga,pumbafu wewe
Jeshi lolote duniani linalogeuzia Raia wake BUNDUKI, siyo JESHI.Kamwe vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama visimuonee haya mleta vurugu yyte nchini, Dunia inatuangalia na kutathimini UBORA wa Majeshi yetu.
Sasa si muda wa kuwachekea Hawa vibaka na panya road ambao wanatishia amani ya nchi yetu.
Tanzania ionyeshe Dunia kuwa hakuna nafasi ya kufanya vurugu nchini kuwa Amani Tanzania ni tunu ya Taifa kamwe haichezewi.
Shime Majeshi yetu yote nchini fanyeni Jambo ambalo wafanya vurugu wote hawatathubutu kufanya vurugu.
NB: Tunaomba vyombo vyote vya ulinzi na Usalama vishirikiane kulinda na kutetea amani ya Tanzania yetu
Kama tuliikomboa nchi kutoka kwa vita ya Uganda unadhani tutawashindwa nyie vibakaHakuna serikali wala vyombo vya ulinzi kwenye utawala uliojisimika kama utashindana na nguvu za wananchi,ukatoboa,kama siraha si ni za kutafuta,emu acha ujinga,pumbafu wewe
Damu za wale waliopigwa risasi zilimwagika kwenye mchanga na udongo wa ardhi zikafyonzwa na ardhi.. unaelewa maana yake ni nini?NB: Tunaomba vyombo vyote vya ulinzi na Usalama vishirikiane kulinda na kutetea amani ya Tanzania yetu
Na militia yoyote uwa inadhibitiwa na jeshi la wananchi walilo liunda wao,sio militia ya watesiJeshi lolote duniani linalogeuzia Raia wake BUNDUKI, siyo JESHI.
Ni MILITIA.
Sasa ivi,hamna support ya wananchi,sasa iv kakikosi tu kenye military personnel 2000,kanawachakaza masaa 72,hamna support ya wananchiKama tuliikomboa nchi kutoka kwa vita ya Uganda unadhani tutawashindwa nyie vibaka
Wewe mbwa unaelewa unachombiwa.. ndio maana tunasema CDF hafai raia wanauawa yeye kalala kambiniNi muda Sasa wa kuionyesha Dunia kuwa jeshi la Tanzania halina mzaha na amani ya Tanzania
Hivi mnajiita mnajeshi au militiaKwamba vibaka wawe tishio la amani Nchin acha akili za kipumbavu hzo
Ccm na polisi wameteka, wametesa, wamepoteza na kuua ndugu zetu kwa miaka mingi, hao vyombo vya ulinzi wako wapi?Kamwe vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama visimuonee haya mleta vurugu yyte nchini, Dunia inatuangalia na kutathimini UBORA wa Majeshi yetu.
Sasa si muda wa kuwachekea Hawa vibaka na panya road ambao wanatishia amani ya nchi yetu.
Tanzania ionyeshe Dunia kuwa hakuna nafasi ya kufanya vurugu nchini kuwa Amani Tanzania ni tunu ya Taifa kamwe haichezewi.
Shime Majeshi yetu yote nchini fanyeni Jambo ambalo wafanya vurugu wote hawatathubutu kufanya vurugu.
NB: Tunaomba vyombo vyote vya ulinzi na Usalama vishirikiane kulinda na kutetea amani ya Tanzania yetu
Amani ya kuwaua raia kwa kuwamiminia risasi? Hio ndio unayoiita amani?Ukisikia aman ya Taifa letu haichezewi uwe unaelewa