PostGE2025 Haya majaribio ya vurugu nchini yatumike kama kipimo Cha UBORA wa Majeshi yetu Tanzania

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hakuna nafasi ya kufanya vurugu nchini
 
Kama tuliikomboa nchi kutoka kwa vita ya Uganda unadhani tutawashindwa nyie vibaka
Mliikomboa sababu wananchi waliunga mkono hiyo mipango
Wangepinga msingeenda mahali

Kwa wale walipita kwenye hizo taasis wanaelewa. Key factor ya kushinda vita kokote lazima wananchi wakukubali, wasipokubali hutoshinda na utatumia nguvu sana
 
Amani ya kuwaua raia kwa kuwamiminia risasi? Hio ndio unayoiita amani?
Vibaka lazima wauwawe asiye funzwa na mama ye atafunzwa na ulimwengu
 

Attachments

  • Kigogo_Media_20251108_1_new.mp4
    5.2 MB
Mliikomboa sababu wananchi waliunga mkono hiyo mipango
Wangepinga msingeenda mahali

Kwa wale walipita kwenye hizo taasis wanaelewa. Key factor ya kushinda vita kokote lazima wananchi wakukubali, wasipokubali hutoshinda na utatumia nguvu sana
Hyo nguvu ndo itumike sahz tumechoka na vurugu za vibaka
 
Hakuna nafasi ya kufanya vurugu nchini
Kwa kuwa ccm na polisi bado mnaona mna nguvu, kumbukeni hata wanao wapa viburi ni binadamu, tutaanza na familia zao ili nao wapate maumivu tuyapatayo.

Polisi na mi ccm mijinga kulinda watawala wakati hayafaidiki na huo utawala.
 
Yaani wewe ni kenge pori wa blue! Yaani majeshi yaoneshe ubora kwa raia wasio na silaha, wanaodai haki zao. Yaani watu kama wewe ni wale mnaokuwa wakali nyumban hadi watoto wanakukimbia lakn mitaani unashikwa matako
 
Umetumia VPN gani kuingia humu wewe mwalimu kidampa wa mafisadi.
 
Vibaka huwajui wewe wale waliopora haki ya wananchi na kujiweka madarakani ni majambazi
Nadhani waleta vurugu wote waonyeshwe kitu ili wajuekuwa nchi yetu haichezewi
 
Yaani wewe ni kenge pori wa blue! Yaani majeshi yaoneshe ubora kwa raia wasio na silaha, wanaodai haki zao. Yaani watu kama wewe ni wale mnaokuwa wakali nyumban hadi watoto wanakukimbia lakn mitaani unashikwa matako
Mshaambiwa TANZANIA italindwa kwa garama yyte
 
Kwa kuwa ccm na polisi bado mnaona mna nguvu, kumbukeni hata wanao wapa viburi ni binadamu, tutaanza na familia zao ili nao wapate maumivu tuyapatayo.

Polisi na mi ccm mijinga kulinda watawala wakati hayafaidiki na huo utawala.
Kabla hamjaanza mtaanzwa nyny...hivi kwann hukufa ulijificha wapi
 
Ila polis wa bongo wameshindikana,kwanza wakauwa raia hovyo mpaka walioko majumban afu baadae wakaanza kukamata hovyo na kusema ni waandamanaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…