PostGE2025 Haya majaribio ya vurugu nchini yatumike kama kipimo Cha UBORA wa Majeshi yetu Tanzania

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ila polis wa bongo wameshindikana,kwanza wakauwa raia hovyo mpaka walioko majumban afu baadae wakaanza kukamata hovyo na kusema ni waandamanaji
Kwani Sasa hawakuwa waandamanaji? Wanaiba Mali za watu wanachoma moto Mali za watu wale walifaa wafe kabisa ndiyo adhabu yao
 
We mpuuzi kwelikweli uimara wa kupambana na watu wasiokuwa na siraha?
 
Vp bwana mama yako mzazi bado analala vilabuni na mimba yake?
Mshauri aache hyo tabia asije akazaa tena panya road Kama wewe
Utakuja kufrw km ww endekeza uchawa wa ksng
 
Yaani wewe ni kenge pori wa blue! Yaani majeshi yaoneshe ubora kwa raia wasio na silaha, wanaodai haki zao. Yaani watu kama wewe ni wale mnaokuwa wakali nyumban hadi watoto wanakukimbia lakn mitaani unashikwa matako
Unamsema Baba yako
 
Jeshi makini halipigi risasi wananchi wanaotembea barabarani kwenda kununua maandazi!.

Tumepata aibu
Kwenda kuiba mitungi ya gesi ya watu, kwenda kubomoa maduka ya watu, hebu acheni huo upumbavu mtakufa.....hakuna mtu ambaye alishawahi kula kitu Cha mtu akabaki salama
 
Angalizo ukija na matusi utajibiwa kwa matusi ukija kwa amani utajibiwa kwa amani
 
Nyie mbwa kilasiku mnaambiwa muende shule hamtakiii
Someni vitabu vya historia ya dunia hii utajifumza kitu ,walikuwepo viongozi wabishi kuliko huyo mamayako lkn hawakufanikiwa.

Ukishindwa kabisaa nenda kasome katiba ya Tanzania pengine utapata elimu kidogo ......Mamlaka ya serikali inatokana na wananchi

Pumbavuuu zenuuu CCM
 
Wewe bwabwaja tu humu lakin vurugu nchini hatuzitaki
 
Hyo nguvu ndo itumike sahz tumechoka na vurugu za vibaka
Vibaka wa wapi tena? Sasa hiv wananchi wenyewe wako against vyombo, until watawala wakapokubali kuna mahali wamevurunda na kuwajibisha

Else wananchi wakinuna kazi itakuwa ngumu sana
 
Vibaka wa wapi tena? Sasa hiv wananchi wenyewe wako against vyombo, until watawala wakapokubali kuna mahali wamevurunda na kuwajibisha

Else wananchi wakinuna kazi itakuwa ngumu sana
Kwamba vibaka wanamaarifa kuliko Majeshi yetu au siyo hebu acheni upumbavu mtakufa 🤣
Nchi inalindwa kwa garama yyte
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…