PostGE2025 Haya majaribio ya vurugu nchini yatumike kama kipimo Cha UBORA wa Majeshi yetu Tanzania

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ubarikiwe mzalendo, jeshi la polisi lisicheke na magaidi
 
Hivyo vyombo vije na ushahidi wa wapi kura 31m zimetokea, kinyume na hapo hatutoki barabarani hadi kiieleweke.
 
Hivyo vyombo vije na ushahidi wa wapi kura 31m zimetokea, kinyume na hapo hatutoki barabarani hadi kiieleweke.
Mtatoka TU hebu jaribuni muone 🔥 TANZANIA haichezewi na panya road
 
Kwamba hao wananchi ni vibaka? Nchi nzima wanaolalamika ni vibaka?

🤣
Vibaka ni Hawa wanaochoma Mali za watu, wanaoiba Mali za watu, wanaobomoa nyumba za watu, wanaochoma miundombinu yetu, wanaochoma vituo vya polis Hawa watu si wakucheka nao .
Hawa ilifaa wamiminiwe risasa palepale bila huruma
 

Attachments

  • Mapung_o_20251104_1_new.mp4
    1.6 MB
  • Irene_Darton_20251105_1_new.mp4
    925.9 KB
Hayo mambo huwezi kumkuta ngosha anayo.Mtu yoyote anae shabikia uovu huo kua ***** ni rahisi
AU vipi kwamba ngosha wote unaishi nao na unawajua tabia zao.
Hayo mambo hayana ukabila yanatokea tu kama ukilema ni kama vile mtoto anapozaliwa mwanamke lakini kafanana na Baba yake copyright ,kwahyo tumshukru Mungu kwa kuwa vzuri
 
Kuna watu wamekamatwa mitaan tu na hawakuwah kuandamana
Inachezewa na majizi ya kura? Mlipora uchaguzi mkadhani mtajiweka madarakani kwa damu ya ndugu zetu kirahisi? Safari hii tutazika wote. Location za hao maaskari na familia zao wote tunazo.
 
Inachezewa na majizi ya kura? Mlipora uchaguzi mkadhani mtajiweka madarakani kwa damu ya ndugu zetu kirahisi? Safari hii tutazika wote. Location za hao maaskari na familia zao wote tunazo.
Utazikwa wewe kabla ya wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…