PostGE2025 Haya majaribio ya vurugu nchini yatumike kama kipimo Cha UBORA wa Majeshi yetu Tanzania

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hivyo vyombo vyenyewe mwisho vitawachoka, unadhani wanafutahia Kila siku kuwadhuru ndgu zao kisa siasa zenu za mitaroni??jibuni hoja za wananchi
 
Ndio nataka, ila hadi nizikwe mtakuwa mmeshaweka ushahidi wa wapi zilitokea kira 31m.
Una hoja za kipumbavu sana.
Wewe iba Mali ya mtu uone kama hujazikwa
 
Ubora upi unaozungumza... Unahuzunisha kweli
 
Amanai ipi tena?
 
Wewe jamaa huwa unaandika upumbavu sana hata kule X, katika machawa ambao ni watu wazima ovyo wewe naye ni mmoja wao.

Kwanza hapa nchini hatuna majeshi, bali tuna vikundi tu vinavyojua kutumia silaha za moto ambavyo viko kwa ajili ya kulinda serikali ya genge la wahuni inayoongozwa na shetani jike samia.

Eti vyombo vya ulinzi vioneshe uimara wake, yaani uimara wa jeshi unaupima kwa kupambana na civilians wasiokuwa na silaha? Sasa hilo ni jeshi au kikundi cha wana mgambo tu ambacho kipo kuwalinda mafisadi?

Mmeua maelfu ya civilians kiholela tena wakiwa wana emea mahitaji ya familia zao kwenye magenge na maduka, halafu mnakuja kuhalalisha mauaji hayo kwa kuwaita hao mliowaua eti ni wahalifu? sijui vibaka? Hivi mna Mungu kweli nyie wapumbavu nyie?

Yaan watu mmewafuata majumbani mwao kwenda kuwapiga risasi kisha wale walioenda mahospitalini wakiwa na majeraha mkaenda kuwamaliza huko huko, halafu maiti zao mkaenda kuzifukia kama mizoga... hivi ni binadamu wenzetu kweli nyie?

Yaan mmefanya huo unyama wote hili tu yule shetani wa kizanzibar aendelee kubaki pale juu kwa maslahi ya mafisadi na nyie wala makombo?

Hakika anguko lenu litakuwa ni baya sana nyie mashetani na itakuwa ni fundisho kwa watawala wadhalimu wote wa Afrika.

Eti "amani" jinga kweli wewe, amani ipi hiyo mnayoilinda kwa kulipasua taifa
 

Mathematically, ni bora jeshi liwapunguze watu wa aina yako. Nchi itulie.
 

Wanaofanya vurugu na kutakiwa kushughulikiwa ni hao watawala ambao hawataki kufata sheria na kutenda haki katika uongozi wao.

Imagine Raisi wa nchi anatamka hadharani kuwa katiba ni kakitabu kadogo na kwamba maendeleo hayaletwi na katiba.

Raisi wa hivyo hafai na ndo mleta vurugu mkuu na haitakii mema nchi yetu na ndiye alietufikisha hapa.

Hivyo Samia ashughulikiwe ili kuiponya nchi
 
Wewe jidannganye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…