Haya majina tusiwape newborn (watoto)

Haya majina tusiwape newborn (watoto)

Mkosamali. machemli.Godfrey.Msigwa .nyerere. mwinyi
 
mtu anazaa mtoto wake anamuita hamisikishindindo. jina bayaaa.
 
Eti mtu anazaa binti halafu anamuita Mwajuma Kandambili. Halafu jina na mtu mwenyewe wanafananaaa.:becky:
 
Self fulfiling prophesy could play the major role...hata hivyo when are going to stop being led by the so called Karma? Internal locus of control must be strong to know we are creative force of our lives
 
Ndg wana MM, Kwa uzoefu nilioupata baada ya kuishi hapa duniani miongo kadhaa nimegundua kuwa watu wenye majina kama Shida, Tabu, mawazo, siamini, Mwaka mbaya, Sura mbaya, Sikitu, Tatizo na mengine yanayofanana maisha yao huwasumbua sana. Hivyo "TUACHE KUWAPA WATOTO MAJINA HAYA" Unaweza kutaja na mengine.
Kokunyegeze, Moyes, Wenger, Ashavin, Katerero, Yanga, Kinega, Nembe,
 
Back
Top Bottom