Haya majina tusiwape newborn (watoto)

Haya majina tusiwape newborn (watoto)

Ahahaha. Kweli aisee.
unamuita mwanao Kiranga, yaani anakuwa kiranga mwanzo mwisho aisee. Daah
Majina yanaathiri
Unamwita mtoto shida, basi shida zitamwandama maisha yake yote

Au unamwita mtoto majuto, anaishia kujuta hadi uzeeni

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Ndg wana MM,

Kwa uzoefu nilioupata baada ya kuishi hapa duniani miongo kadhaa nimegundua kuwa watu wenye majina kama Shida, Tabu, mawazo, siamini, Mwaka mbaya, Sura mbaya, Sikitu, Tatizo na mengine yanayofanana maisha yao huwasumbua sana.

Hivyo "TUACHE KUWAPA WATOTO MAJINA HAYA"

Unaweza kutaja na mengine.

Hata hayo ya kizungu na kiarabu mnayoyashabikia yana maana sawa na hizo na pengine mbaya zaidi ya hizo!
Jina ni jina na halina uhusiano wowote na haiba ya mtu ingekuwa hivyo wanaoitwa Simba wangeogopwa popote wanapopita na wanaoitwa "Kambale" wangekuwa hawafi maji. Binafsi naya-admire majina yenye vidokezo vya uasilia wa mtu na kwa kweli inapendeza sana unapokutana na mtu katika nchi za mbali na nyumbani ambaye jina lake linadodeza moja kwa moja ni wa kwetu. Majina kama Subira, Sikitu, Havintishi, Sikitiko, Tumaini, Waraka, Kobelo, Kimanga yananipa raha kabisa ninapoyasikia haswa ninapokuwa mbali kabisa na nyumbani kama ilivyo sasa.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ahahaha. Kweli aisee.
unamuita mwanao Kiranga, yaani anakuwa kiranga mwanzo mwisho aisee. Daah

mkwe huyo jamaa una utani nae au? ukipewa matusi ya kiinglish utafte wa kukukarimania mi sina muda leo.
 
Last edited by a moderator:
Hehe, akinitukana kizungu mie namtukana kimasai tuone nani bingwa. Kiranga best wangu hana neno, hata akibisha anabisha kistaarabu. Ila ana Kiranga, dah!

natamani aje nimuone atavobisha kiustaarabu.
 
Last edited by a moderator:
kutana na majina ya wakaguru sasa - Mapenzi, Wafile, Tukae, Chilongola - wakimaanisha katangulia, Mwefunde - Mawingu, Mgomba..
 
Umenichekesha sana, kwanza maumivu ya tusi, pili kazi ya kukarimaniwa, tatu kazi ya kuelewa.

Ila ujue nafuatilia majibizano ya hamisi na Mwaju.

mkwe huyo jamaa una utani nae au? ukipewa matusi ya kiinglish utafte wa kukukarimania mi sina muda leo.
 
Hakika ulisomea kujipendekeza kwa askari.

Kichwani imenijia picha ya Tom akitabasamu baada ya kumuona Jery ana chakula kizuriiiii au akiwa analindwa na yule m-dog

Hehe, akinitukana kizungu mie namtukana kimasai tuone nani bingwa. Kiranga best wangu hana neno, hata akibisha anabisha kistaarabu. Ila ana Kiranga, dah!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom