Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,851
- 9,472
kapumbu
kamboo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kapumbu
Majina yanaathiri
Unamwita mtoto shida, basi shida zitamwandama maisha yake yote
Au unamwita mtoto majuto, anaishia kujuta hadi uzeeni
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ndg wana MM,
Kwa uzoefu nilioupata baada ya kuishi hapa duniani miongo kadhaa nimegundua kuwa watu wenye majina kama Shida, Tabu, mawazo, siamini, Mwaka mbaya, Sura mbaya, Sikitu, Tatizo na mengine yanayofanana maisha yao huwasumbua sana.
Hivyo "TUACHE KUWAPA WATOTO MAJINA HAYA"
Unaweza kutaja na mengine.
kamboo.
mkwe huyo jamaa una utani nae au? ukipewa matusi ya kiinglish utafte wa kukukarimania mi sina muda leo.
Walahi akili yako si nzuri wewe.
Eti ka nini?
Umenifanya nicheke mpaka binti 'angu ananishangaa hapa.
kape hi kabinti kako ila kasiwe katundu kama babake.
Sio katundu ila ni kajanja (kama mimi). Wanasema tufaha halidondoki mbali na mti wake...
mkwe huyo jamaa una utani nae au? ukipewa matusi ya kiinglish utafte wa kukukarimania mi sina muda leo.
Hehe, akinitukana kizungu mie namtukana kimasai tuone nani bingwa. Kiranga best wangu hana neno, hata akibisha anabisha kistaarabu. Ila ana Kiranga, dah!
Umenichekesha sana, kwanza maumivu ya tusi, pili kazi ya kukarimaniwa, tatu kazi ya kuelewa.
Ila ujue nafuatilia majibizano ya hamisi na Mwaju.
nafikiri yy atakuwa mjanja kama ngedere maana ww mjanja kama nyani.
Up yours itchbay.
Kajanja, kazuri, kana akili.
kanaitwa nani?