mpasuajipu99
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 678
- 120
Panya, Tundu, Maneno, maji ya Tanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kisura
hahahahaha!!!!
Majina yana maana yawe ya kizungu au ya kiafrika.Hata hivyo huku Afrika tunayo majina mazuri hususani ya kinyakyusa.Mengi yana maana nzuri kama Anyosyisye,Atupele, Lugano etc Lakini kumwita mtoto Majuto sio vizuri kabisaHata hayo ya kizungu na kiarabu mnayoyashabikia yana maana sawa na hizo na pengine mbaya zaidi ya hizo!
Jina ni jina na halina uhusiano wowote na haiba ya mtu ingekuwa hivyo wanaoitwa Simba wangeogopwa popote wanapopita na wanaoitwa "Kambale" wangekuwa hawafi maji. Binafsi naya-admire majina yenye vidokezo vya uasilia wa mtu na kwa kweli inapendeza sana unapokutana na mtu katika nchi za mbali na nyumbani ambaye jina lake linadodeza moja kwa moja ni wa kwetu. Majina kama Subira, Sikitu, Havintishi, Sikitiko, Tumaini, Waraka, Kobelo, Kimanga yananipa raha kabisa ninapoyasikia haswa ninapokuwa mbali kabisa na nyumbani kama ilivyo sasa.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Unakacheka kabinti kangu?
Walahi akili yako si nzuri wewe.
Eti ka nini?
Umenifanya nicheke mpaka binti 'angu ananishangaa hapa.
Ahahaha. Kweli aisee.
unamuita mwanao Kiranga, yaani anakuwa kiranga mwanzo mwisho aisee. Daah
Hehe, akinitukana kizungu mie namtukana kimasai tuone nani bingwa. Kiranga best wangu hana neno, hata akibisha anabisha kistaarabu. Ila ana Kiranga, dah!
Kisura
hahahahaha sio kweliiiii
That's her name, I kid you not!