Haya majina tusiwape newborn (watoto)

Haya majina tusiwape newborn (watoto)

Hata hayo ya kizungu na kiarabu mnayoyashabikia yana maana sawa na hizo na pengine mbaya zaidi ya hizo!
Jina ni jina na halina uhusiano wowote na haiba ya mtu ingekuwa hivyo wanaoitwa Simba wangeogopwa popote wanapopita na wanaoitwa "Kambale" wangekuwa hawafi maji. Binafsi naya-admire majina yenye vidokezo vya uasilia wa mtu na kwa kweli inapendeza sana unapokutana na mtu katika nchi za mbali na nyumbani ambaye jina lake linadodeza moja kwa moja ni wa kwetu. Majina kama Subira, Sikitu, Havintishi, Sikitiko, Tumaini, Waraka, Kobelo, Kimanga yananipa raha kabisa ninapoyasikia haswa ninapokuwa mbali kabisa na nyumbani kama ilivyo sasa.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Majina yana maana yawe ya kizungu au ya kiafrika.Hata hivyo huku Afrika tunayo majina mazuri hususani ya kinyakyusa.Mengi yana maana nzuri kama Anyosyisye,Atupele, Lugano etc Lakini kumwita mtoto Majuto sio vizuri kabisa
 
majina hayo hayana uhusiano na dini,inategemea umekulia wapi???huku uchagani wengi ni wakristu na yapo mengi,mengine huitwa kwa kichaga!!!ama kingereza,sijui km wanatumia Tafsida ama nn!!!!
 
majina kama bush(kichaka),gerge(choo)hetrade nk yanamaana mbaya tu km utayatafsiri,mf km mtot kazaliwa kwa tabu sn kuna ubaya gn akiitwa "tabu"?,au mtt kazaliwa kwa opershen kuna ubaya gn akiitaw cissar(siza/mkasi)??,acheni kuendekeza uzungu,mbona kuna mtu anaitwa Godbless bt mambo yake ni ya Develbless???
 
kuna mengine ya asili kama makima (maugali), masese (plural form ya mbwa!), kewele (nyumbu!),

nyawasta (huyu ni shetani nyoka, mleta mali..), mang'ombe, nyamboli (mwenye mbuzi..) nk!

ukichunguza majina ya kizungu nayo yana maana zenye utata pia, tatizo si huku uafrikani tu..
 
Hehe, akinitukana kizungu mie namtukana kimasai tuone nani bingwa. Kiranga best wangu hana neno, hata akibisha anabisha kistaarabu. Ila ana Kiranga, dah!

King'asti of course you know I have a soft spot for you.

Something on that no nonsense devil may care epic badass wavelength resonates well.

I like that. People need to be themselves and stop worrying about society, and let others be themselves.

I feel that I don't need to be concerned about that with you.

Look, now you make badass Kiranga look like he is writing a love letter, Clyde looking for his Bonnie.

If only I wa marriage material...

We're gonna be friends.
 
Last edited by a moderator:
Mi nikipata mtoto wa kiume ntamuita jenerali ama advocate,au balozi km mungu akinijalia wa kike ntamuita captein ama director sitak taabu
 
mi naona mnaponda majina ya kiswahili na kirugha hii ni hatari. angalizo kama humpendi binti wako wakike muite STELA
 
Back
Top Bottom