Ahahhaaaa.....huwa hapa Ni ushuhuda wangu binafsi...
Ilinitokea nimetok na kibinti Fulani mitaa ya Arusha kakanizungusha kitambo afu baada ya mwaka hivi kakajileta I s3e.
Nikaenda nako mahala nkakakamua...sawia....Sa wakati Fulani tumechoka ile mbaya kila mtu akageukia kona yake na kuanza kupitia simu.
MTU mzima nikazama Jf, sa bidada si akapata wivu akajisogeza pande zangu akala chabo...Shabashi akanikuta nachingia mada Fulani.
Wacha ashike mdomo baada ya neno "Kumbe ndio Wewe kumtoka"..
Nikamwulizia mie nn tena!? Kikataja ID yangu yabash! Nikazuga sana lakini haikusaidia ikabidi nibadili kete, lete na mi nione yako! Kikaniambia ni rahisi kukupa papuchy kuliko kuifahamu ID yangu.
Baby najua utapita kwenye hii komenti hapa ila usimind sana ukiiona..lol