Haya majina ya JF ifike mahala tuwe tunabadilisha

Haya majina ya JF ifike mahala tuwe tunabadilisha

hahahaha sipati picha vile umetumbulia macho simu ya mama wa watu..........shida nini kwani majina yanayotumika huku yanauhalisia kiasi gani fikiria zaidi
Lol! Si ndio hapo sasa! Kijana mkosefu wa adabu huyu! Kisa cha kuchungulia simu ya mama wa watu!
 
Kwani unadhani Miss inamaanisha nini ?

Au Miss inaendana na umri ?, kwahio ni binti mdogo hawezi kuwa Mrs au Mzee akawa Miss ? Au Mwanamke ambaye ni single na hana title nyingine ungetaka aitwe vipi ?

Nadhani makosa hapo ni wewe kutokuelewa lugha za watu wengine
 
mimi nilisafiri kutoka dodoma juzi ....kumbe ni wewe uiyekua jirani yangu?
 
Ahahhaaaa.....huwa hapa Ni ushuhuda wangu binafsi...

Ilinitokea nimetok na kibinti Fulani mitaa ya Arusha kakanizungusha kitambo afu baada ya mwaka hivi kakajileta I s3e.
Nikaenda nako mahala nkakakamua...sawia....Sa wakati Fulani tumechoka ile mbaya kila mtu akageukia kona yake na kuanza kupitia simu.
MTU mzima nikazama Jf, sa bidada si akapata wivu akajisogeza pande zangu akala chabo...Shabashi akanikuta nachingia mada Fulani.
Wacha ashike mdomo baada ya neno "Kumbe ndio Wewe kumtoka"..
Nikamwulizia mie nn tena!? Kikataja ID yangu yabash! Nikazuga sana lakini haikusaidia ikabidi nibadili kete, lete na mi nione yako! Kikaniambia ni rahisi kukupa papuchy kuliko kuifahamu ID yangu.
Baby najua utapita kwenye hii komenti hapa ila usimind sana ukiiona..lol
 
Hivi kwani kuna sehemu ya kubadilisha jina humu, maan nlishakata tamaa kubadilisha
 
Back
Top Bottom