Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Teh vumilia tu, hutaki kusherehekea jubilei ya ndoa? Teh mzee mjanja ndo maana alinizaa mapemaKhaaah kama shughuli yenyewe ndio hiyo bora tu niwe single mom sasa, kumbe ndio maana anakulea peke yake, huu ni mfupa ulomshinda fisi.
Teh vumilia tu, hutaki kusherehekea jubilei ya ndoa? Teh mzee mjanja ndo maana alinizaa mapema
Acha uchoyo, kizuri kula na wenzioKwakweli na mwingine on the way uzeeni, haki mie uvumilivu umenishinda.
Wamekuwa wengi mnooo alafu wanabugia hadi wananimalizia, mwisho nabakia na njaa.Acha uchoyo, kizuri kula na wenzio
Sasa kama unapika afu chakula unagawa chote, una matatizoWamekuwa wengi mnooo alafu wanabugia hadi wananimalizia, mwisho nabakia na njaa.
Sasa kama unapika afu chakula unagawa chote, una matatizo
Kula na wenzio na sio wapikie wenzioSi umeniambia niache uchoyo? Sasa ndio kizuri nimekula na wenzangu hadi wamemaliza.
Ha ha ha having Kabooom for the husband is the highest risk in life! Ila akikushinda kabisaaa utaniachia namimi nijaribuu!Hahahaaaa! Tafadhali jamani unajua unayemuongelea ni mume wangu!! Na ni kaboom kweli nina taabu we acha tu, naona mnakabumuka tu.
Sure dear...Hahaha si anabadilika taratibu taratibu, Rome wasn't built on a day. Mvumilie tu mume wa ujana wako
Hahaha don't trust my daddy, I know him better.Sure dear...
Rome took Time, Plan and Risk involved! Avumiliwe kabooom hata shetani akizeeka anakuwa Malaika!
Ha ha ha having Kabooom for the husband is the highest risk in life! Ila akikushinda kabisaaa utaniachia namimi nijaribuu!
Mi kila nikimpatia picha haitoki...napata negative tuuu ila nahisi ni pasua kichwa fulani hiviii yaan mtaan maduka yote ya dawa wanakufahamu manake haiwezi pita wiki kabooom hajalizua au kuharibu!Hahaha don't trust my daddy, I know him better.
Hahaha daddy angu hana makuu, ila ni sukari ya warembo. Ni gentleman fulani hivi amazingMi kila nikimpatia picha haitoki...napata negative tuuu ila nahisi ni pasua kichwa fulani hiviii yaan mtaan maduka yote ya dawa wanakufahamu manake haiwezi pita wiki kabooom hajalizua au kuharibu!
Hahaha daddy angu hana makuu, ila ni sukari ya warembo. Ni gentleman fulani hivi amazing
Hehehe kumbe hujamchoka?Mmmmmh!! Kweli muwamba ngoma, muacheni mume wangu bado nampenda hadi wiki ijayo.
Hehehe kumbe hujamchoka?
Teh hongera na hiyo new resolution yako. Ila angalia usije ukawa unapanga kumuacha kumbe yeye ndo ashakuacha zamaniHadi wiki ijayo nitakuwa nishamchoka, ila bado nampenda.
Teh hongera na hiyo new resolution yako. Ila angalia usije ukawa unapanga kumuacha kumbe yeye ndo ashakuacha zamani
Bora tu ujitulize, ndani ya siku mbili tu utakuwa ushaanza kumlilia tena. Na mzee wangu unamjua akitoa alteeza anahamia kwenye Range RoverAniache mara ngapi? Mie ndio napanga kumuacha, ila hata sina hakika.