Haya majina ya JF ifike mahala tuwe tunabadilisha

Haya majina ya JF ifike mahala tuwe tunabadilisha

Khaaah kama shughuli yenyewe ndio hiyo bora tu niwe single mom sasa, kumbe ndio maana anakulea peke yake, huu ni mfupa ulomshinda fisi.
Teh vumilia tu, hutaki kusherehekea jubilei ya ndoa? Teh mzee mjanja ndo maana alinizaa mapema
 
Hahahaaaa! Tafadhali jamani unajua unayemuongelea ni mume wangu!! Na ni kaboom kweli nina taabu we acha tu, naona mnakabumuka tu.
Ha ha ha having Kabooom for the husband is the highest risk in life! Ila akikushinda kabisaaa utaniachia namimi nijaribuu!
 
Ha ha ha having Kabooom for the husband is the highest risk in life! Ila akikushinda kabisaaa utaniachia namimi nijaribuu!

Naomba usikae mbali maana hadi wiki ijayo nitakuwa nishamshindwa.
 
Hahaha don't trust my daddy, I know him better.
Mi kila nikimpatia picha haitoki...napata negative tuuu ila nahisi ni pasua kichwa fulani hiviii yaan mtaan maduka yote ya dawa wanakufahamu manake haiwezi pita wiki kabooom hajalizua au kuharibu!
 
Mi kila nikimpatia picha haitoki...napata negative tuuu ila nahisi ni pasua kichwa fulani hiviii yaan mtaan maduka yote ya dawa wanakufahamu manake haiwezi pita wiki kabooom hajalizua au kuharibu!
Hahaha daddy angu hana makuu, ila ni sukari ya warembo. Ni gentleman fulani hivi amazing
 
Aniache mara ngapi? Mie ndio napanga kumuacha, ila hata sina hakika.
Bora tu ujitulize, ndani ya siku mbili tu utakuwa ushaanza kumlilia tena. Na mzee wangu unamjua akitoa alteeza anahamia kwenye Range Rover
 
Back
Top Bottom