Haya makabila yanaongoza kwa kuwa na single mama, kwanini?

Haya makabila yanaongoza kwa kuwa na single mama, kwanini?

Nini kilikukuta mkuu?

Mimi kuna myantuzu huyo wa bariadi nilizaa nae firstborn kipindi hicho napiga mishe kanda ya ziwa aiseeh si mtoto wa pili kataka kunibambikia nikastuka. sasa bhana si akaenda kunichezea kimila kama kunikomoa! .acha kabisa namshukuru Mungu nilijikata mapema 5 years now na deal na firstborn wangu tu.
Wanawake wa kanda ya ziwa wanaujua uchawi.
Alafu kuna wasukuma wa bariadi, vinapiga spana za kwa bibi hatari
 
Wachagga ni "intersection" maana kila set wapo; wakitajwa:
warembo wamo
Single maza wamo
Wasio na shape wamo
Wanaua waume zao wamo
Wenye vigimbi wamo
Wasomi wamo
Wapambanaji kimaisha wamo
Waoongoza kuolewa wamo
Wanoolewa na madon wapo

Hawa watu ni nouma na ajabu watu hawaachi kuoa Wachagga! Kongole kwenu mabinti wa Kichagga
Pia wanaachika mapema mkuu
 
Mwanamke wa kijita/kikerewe mkikosana ndani yeye anatoka nje kurusha mawe na matusi. 😂😂
hawa sasa ndo wakuweka ndani mazima mnatoa kizazi ngunguli kabisa hamna mtu kuonewa kizembekizembe😅awe me au ke ni ngumi mkononi yani kinanuka muda wowote ukizubaa unakula mashine kadhaa za uso akili inakaa sawa,,,dadekh
 
Hapana wanazoea yes ila nyumba inakosa heshima
Huwa natazama hii kanda ya ziwa, wanawake wengi wa kikerewe ni walioachika. Kama ni binti ulipanga kumuoa mipango inakata kabisa.

Nilidate na binti wa kikerewe, mkipishana kidogo atatiririka weee.

Kama ni message anazitirisha kama mvua, hata mvua nadhani inaweza ikakata. Yaani we unakuwa unaziangalia tu kama muvi. 😂
 
Huwa natazama hii kanda ya ziwa, wengi ni walioachika. Kama ni binti ulipanga kumuoa mipango inakata kabisa.

Nilidate na binti kutoka wa kikerewe, mkipishana kidogo atatiririka weee.

Kama ni message anazitirisha kama mvua, hata mvua nadhani inaweza ikakata. Yaani we unakuwa unaziangalia tu kama muvi. 😂
Wakerewe na wajita hao usingeweza kabisa infact sijaona aliyeweza hao kibri Yao iko juu kuliko kawaida
 
hawa sasa ndo wakuweka ndani mazima mnatoa kizazi ngunguli kabisa hamna mtu kuonewa kizembekizembe😅awe me au ke ni ngumi mkononi yani kinanuka muda wowote ukizubaa unakula mashine kadhaa za uso akili inakaa sawa,,,dadekh
Kaka, mwanamke wa hivi hapana kabisa! Ulishawahi kufanyiwa fujo ofisini?

Mwanamke mmekosana ndani yeye anakamata safari hadi ofisini kwako kuharibu mali. Ofisi yenyewe ya watu, kazi umepata kwa mchongo, yeye anakuja kuvunja na kuharibu mali za watu. 😂
 
Wan
Wakerewe na wajita hao usingeweza kabisa infact sijaona aliyeweza hao kibri Yao iko juu kuliko kawaida
Wanajiamini kwa kuwa yale mambo ya kuchapa maji katikati ya ziwa, na kumuagiza mamba. 😂
 
Mkuu mbona unanitisha nilitaka kwenda ngara kutafuta mrembo wa kihangaza kuna watu humu waliwasifia kuwa ni wife material
Hao jamaa wanapenda ubinafsi sana na hawana kumbukumbu. Ukisaidia hao watu usitegemee kukumbukwa. Japo sio wote ila niliokutana nao wako hivyo.
 
Kuishi na Mwanamke wa Kijita kunahitaji Special skills aisee, Ovyo sana hao Watu yani nihangaike kutafuta hela halafu bado nirudi ndani nihangaike na Mwanamke ya nini iyo bora utafute Mpwani wako tu Atalea watoto vizuri na Mbususu utapewa vyema sana sio Hawa wajita Ujuaji mwingi na Viburi, Ni kuwapiga mimba nakutembea tu hakuna Mtu anataka heka heka
 
Kaka, mwanamke wa hivi hapana kabisa! Ulishawahi kufanyiwa fujo ofisini?

Mwanamke mmekosana ndani yeye anakamata safari hadi ofisini kwako kuharibu mali. Ofisi yenyewe ya watu, kazi umepata kwa mchongo, yeye anakuja kuvunja na kuharibu mali za watu. 😂
wamba sana hawa,,,bendera chuma mlingoti chuma🤣 hawa ndo wenyewe sasa. we ukiweka nayeye anaweka. hakuna unyonge. nlimjuaga mmoja uyo mkurya wa tarime kanda maalum na mwingine mmeru wale wa juu kule milimani uko chuganistan wako ivo. hakuna nyenyenye,,,usipomtafuta nayey anapiga kimya.
 
Hao jamaa wanapenda ubinafsi sana na hawana kumbukumbu. Ukisaidia hao watu usitegemee kukumbukwa. Japo sio wote ila niliokutana nao wako hivyo.
Kwahiyo mkuu ukiachana na hayo ya ubinafsi vipi wametulia?
 
wamba sana hawa,,,bendera chuma mlingoti chuma🤣 hawa ndo wenyewe sasa. we ukiweka nayeye anaweka. hakuna unyonge. nlimjuaga mmoja uyo mkurya wa tarime kanda maalum na mwingine mmeru wale wa juu kule milimani uko chuganistan wako ivo. hakuna nyenyenye,,,usipomtafuta nayey anapiga kimya.
😂😂 Watu wa mishe mishe. Kwenye zali wanaliamsha. Watu wa heka heka! Aisee mimi hapana wa hivo.
 
😂😂 Watu wa mishe mishe. Kwenye zali wanaliamsha. Watu wa heka heka! Aisee mimi hapana wa hivo.
😆😆😆wamba sana hao. ukijifanya unaliamsha nayeye analiamsha tifu marambili zaidi yako. usipokaa sawa zinapigwa ngumi👊🤜 kavukavu😅
 
Hongera sana mkuu.
Mi pia ninaye mmoja hapa pembeni yangu.
Wanawake wa kijaluo huwa hawana mawenge.
Ni watulivu, wavumilivu na wanajua kutunza ndoa, familia na ndugu wanaokuhusu.
We hujakutana na wajaluo wenye dharau za juu ninaye hapa kifupi ninalea mtoto tu jeuri ,mafanikio ya wengine anayarelate na yeye anazeekea nyumban ukimshauri achana na mishe zako hizo za kuvolunteer ualimu upige mishi ni ubishi,
Wana asili ya namna yeyote ile kuhangaika kuboresha kwao ila kwako atakuletea drama za upendo wa hali ya juu sana kumbe anachuma.
Wanathamini kipato kuliko utu japo hawakuoneshi .
Mkurya anafaa zaidi kwa mkoa wa Mara na si mwingine
 
Back
Top Bottom