Haya makabila yanaongoza kwa kuwa na single mama, kwanini?

Haya makabila yanaongoza kwa kuwa na single mama, kwanini?

Mama mkwe anamwambia binti yake alieko kwny ndoa almost 3 years, 'bora angeolewa na mchaga mwenzie kuliko kabila alilochagua'. Kisa jmaaa mambo magumu anapambana ingawa kipindi cha nyuma mambo yalikua mazuri. Sahivi apeche alolo hta wakwe hawamtaki jamaa.........hizi stori sikia tu kwa watu yasikukute
Kwamba mama mkwe anataka cash flow iwe constant. Daah! Kuna umuhimu kuoa kabila mnalofanana; angalau
 
Ni imani za kipuuzi zilizo pitwa na wakati , hakuna kitu inaitwa asili, binadamu ni mtu wa kubadilika
Hakuna binadamu anaweza kubadilika kama hajaitaji kubadirika ,ni 10% tu ya watu wa asili hubadilika baada yakuwa subjected ktk mazingira tofuti na hata ikiwa hivyo Ecológical mutual exclusive principle inahusika.
 
  1. Wajita
  2. Wachaga
  3. Wamakonde
  4. Waluguru
  5. Wanyaturu
  6. Warangi
  7. Wazaramo
  8. Wagogo
  9. Wangoni
Baadhi ya makabila inaweza kuwa ni mchanganyiko wa mambo ya kijamii, kitamaduni, na kiuchumi ambayo yanabadilika kulingana na mazingira ya jamii husika.

Baadhi ya sababu zinazoweza kuchangia hali hiyo.

Mabadiliko ya Kijamii
Kwa miaka ya karibuni, kumekuwa na mabadiliko ya kijamii yanayowezesha wanawake kuchukua majukumu makubwa ya kifamilia na kiuchumi.

Hii imepelekea wanawake wengi kujitegemea zaidi na kuona kuwa wanaweza kulea watoto wao bila hitaji kubwa la mwenza.

Uhamaji na Ajira
Makabila haya mara nyingi yanatoka katika maeneo ambayo watu uhamia mijini au nchi za nje kutafuta ajira.

Hali hii husababisha wanaume kukaa mbali na familia kwa muda mrefu, hali inayoweza kuleta migogoro na kupelekea wanawake kuwa single mothers.

Athari za Mabadiliko ya Maadili
Kadri jamii inavyopitia mabadiliko ya maadili kuhusu ndoa na familia, pia wajibu wa kifamilia unabadilika.

Watu wengi sasa wanaona kuwa ni bora kuwa single parent kuliko kubaki kwenye ndoa isiyo na furaha au yenye changamoto nyingi.

Ova
 
Tukieenda in deep love, ule utamu hauna kabila ukipata yeyote unabeba tu ukajilie utamu huo mahsusi
 
Kwamba mama mkwe anataka cash flow iwe constant. Daah! Kuna umuhimu kuoa kabila mnalofanana; angalau
Mama mkwe kala sana hela za jamaa enzi hzo jamaa parking imejaa kwelikweli....pochi nene, sahiv naona mwamba anaonekana kama mdoli tu....nachopenda mwamba ni smart, anakwambia zitarudi na zaidi ila amepata somo la maisha yake. Kwahyo aluta continua🫡
 
Kinachonisikitisha ni kwamba Mzazi anatamani mtoto aolewe, tena aolewe na mtu mwenye uwezo lakini linapokuja suala la kukosa cash Mzazi huyo huyo anajifanya hajui kuna wakati inatokea kuyumba kiuchumi.
 
Akikaa sawa watamchekea tena. Kazi sana haya maisha. Ila ndo vile akili kumkichwa
 
Back
Top Bottom