Haya makabila yanaongoza kwa kuwa na single mama, kwanini?

Haya makabila yanaongoza kwa kuwa na single mama, kwanini?

shemeji yangu alioa huyo mke kutoka mbeya.
Sijawahi kuona hata kusikia alichokifanya mke wake huyo kutoa mbeya .
1)Alichukua chaga za kitanda wanacholalia yeye na mumewe akatoa zile mbao akapikia chakula sababu gesi ya kupikia iliisha na mumewe hakuwepo alisafiri kikazi kwenye biashara,wakiwa na ugomvi.
2) ndo ilikuwa na ugomvi wa hapa na pale sitaki nirukie hitimisho kuwa source ni nank mana ni ndoa za vijana wadogo wote eraly 30s
3)kingine kilichonishangaza ni mke kihamishia hasira kwa wototo na kuwatoa kwenye members wanufaika wategemezi wa bima yake NHIF,mwanamke asingiziwi watoto aliowazaa,hata kama alikuwa na ugomvi ma mumewe watoto asingewakasirikia.
3)mahakama baada ya ndoa kuvunjia ina amua watoto wakae na baba shemeji na kumuona mama hafai kukaa na watoto hata yule mdogo wa chini ya miaka 7,
mke kumsikiliza mchungaji zaidi ya mume na kutumia muda mwingi kusali badala ya kuhudumia familia,mtoto mdogo mpaka shemeji mumewe akawa namuhudumia mtoto mdogo kumpa chakula maziwa ,mke yupo kabisani mpaka kurudi usiku
Duuh
 
Nami huwa najiuliza, wanaponda makabila yote. Hata huko Kenya wengi ni ndugu na mipaka mingi, watu wameoana tumekuwa kama sawa tu.
Kuna watu wengi wana tabia tofauti kabisa na makabila yanavyosemwa. Pia watu wamechanganya sana, bado hizo tabia zinatajwa!!! Hawa watu 😄😄😄😄
Malezi yana mchango mkubwa pia
 
Back
Top Bottom