Haya makabila yanaongoza kwa kuwa na single mama, kwanini?

Haya makabila yanaongoza kwa kuwa na single mama, kwanini?

Hasira ni ni kweli kabisaaaa ,awe mjita sasa ama mchaga ni hatari,kuna mmoja wa kichaga mi aliniblock kisa nilikuwa namsagia kunguni yule binti wa buza kuhusu maafande,yaani alivimba kabisaaa
Mimi ni mtu ambae maturity yangu imekua kubwa Sanaa.

Ni mtu msikivu na mvumilivu to the maximum Ila Sasa yule mdada alinipanda KICHWANI.

Nilimpa shiti Sana na ana invoice yangu laki 6 simdai kivilee nikajiuliza huyu ndio angekua ananidai Mimi si ningeletewa PA kabisa.
 
Kwahiyo mtotk mtoto akipatikana nje ya ndoa anakua haramu jamii famili inamtenga kwenye haki zake kama mtoto mfano kama ana ndugu zake waliozaliwa ndani ya ndoa wanakua wanajaliwa zaidi na kupendwa kuliko yeye ?
haramu wamefanya wazazi wake, ndiyo maana anaitwa "mtoto wa haramu" siyo "mtoto haramu".
 
Mama mkwe anamwambia binti yake alieko kwny ndoa almost 3 years, 'bora angeolewa na mchaga mwenzie kuliko kabila alilochagua'. Kisa jmaaa mambo magumu anapambana ingawa kipindi cha nyuma mambo yalikua mazuri. Sahivi apeche alolo hta wakwe hawamtaki jamaa.........hizi stori sikia tu kwa watu yasikukute
Mtu akiyazungumza anaonekana kama anayaponda hayo makabila ila kwa sehemu kubwa yanayozungumzwa yana akisi ukweli.
 
Mnawasema Wachaga ila kila siku ndoa za kuoa wachaga sasa wale wanaooa nani
Mimi ni mtu ambae maturity yangu imekua kubwa Sanaa.

Ni mtu msikivu na mvumilivu to the maximum Ila Sasa yule mdada alinipanda KICHWANI.

Nilimpa shiti Sana na ana invoice yangu laki 6 simdai kivilee nikajiuliza huyu ndio angekua ananidai Mimi si ningeletewa PA kabisa.
Nikawaida yao yaani unyamaze tabu,ulumbane tabu,mimi sipendagi makelele akianza makelele naondoka
 
Hii mada inafikirisha sana nilkutana na Warangi familia moja watatu wote single maza🤔ukiacha wachaga elimu zao kubwa hayo makabila ni darasa la saba

Kuna wanyakyusa wenye elimu wanaonaga kama vile wanaweza kujitomber yan atajifanya ooh kwa Sasa sitak kuolewa nataka masters🤣Ila kupigwa miti anapigwa na vijana
sawa na wahaya
 
Wakati tunaendelea na mjadala huu,tafadhali naomba nisaidie sekunde kadhaa kwa kupiga kura utafiti huu kupitia hii kiungo ili nikamilishe utafiti wangu.Asante!

 
Sasa wewe utakazana na majukumu ya kulea mtu ambaye sio mkeo na hana adabu. We kweli pumbunyo

Mimi nikilea wewe inakuuma nini? Maisha yangu wewe yanakuhusu nini? Mbona mimi sina muda na maisha yako?

Hao single mothers wangepatikana vipi kama wanaume wasingekimbia majukumu yao? Au mimba wanajipa wenyewe?

Vijana mnapambana kuwa makungwi JF.
 
Back
Top Bottom