Haya makabila yanaongoza kwa kuwa na single mama, kwanini?

Haya makabila yanaongoza kwa kuwa na single mama, kwanini?

Ila wanajua kulea mtoto hadi akiwa kwenye familia yake, wale wamama wanaona ni halali yao kumuongilia na kumsiamamia.

Ukimpata mwenye hofu ya Mungu utafaidi wengi wasabato, ukimpata mnafiki kwa Mungu utajuta, lazima muachane au ukubali kuwa kama background
Wanaunafiki wa kidini sana
 
Tafadhali,wakati tunaendelea na mjadala huu naomba nisaidie kupiga kura hapa ili utafiti wangu ukamilike .asante

 
Mabinti wa Songea (wangoni) na kuzalia home ni kama wanashindana
 
Kifupi kijana majini ukikutana na msichana mrembo, kwa bahati nzuri ukasikia anasalimiana kwenye simu na ndugu zake ukasikia neno " Yego" Wacha mawe" Cha tata Kimbia ufe hao wanawezana wenyewe kwa wenyewe tuu, tena ukute anasali siku ya jumamosi😀😀😀
 
Back
Top Bottom