City Owl
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 3,475
- 7,571
Labda umshindwe tu mwenyewe.Wajaluo wagawaji sana na wanatabia ya kutembea na ndugu wa ukoo
Wajaluo wana Ile obedience. Ukiwa dhaifu ndiyo anakudharau na anaweza kufanya mambo yasiyo ya hovyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda umshindwe tu mwenyewe.Wajaluo wagawaji sana na wanatabia ya kutembea na ndugu wa ukoo
Yes wachaga wanajitahidi kwenda skonga na hilo linawaongezea mashauziHii mada inafikirisha sana nilkutana na Warangi familia moja watatu wote single maza🤔ukiacha wachaga elimu zao kubwa hayo makabila ni darasa la saba
Kuna wanyakyusa wenye elimu wanaonaga kama vile wanaweza kujitomber yan atajifanya ooh kwa Sasa sitak kuolewa nataka masters🤣Ila kupigwa miti anapigwa na vijana
sio sanaWanyakyusa vepe
Yulo mmoja tutor kairuki natoa kodi ili ajirekebishe alisota nje amerud 40s eti yy hajaona mswahili wa kumuoa dream yake ni wazungu au warabu tena huko huko nje mda huu anatisha kama mwanaume sijui hvo akifika 50s ukimuliza nataka nice na PhD ndo niolewe hahaaaa wamechelewa kweli haw la watu
Mzee mm kwenye hayo makabila sijawah kuwa tu na Wagogo hao siwajui Ila wengine wote nilisha kuwa nao kimapenzi "Ata kielimu wengi wameishia lasaba" nafikiri kukoswa elimu nayo ni shida Waluguru walioenda shule au Wazaramo au Warangi ni wa kuhesabu1. Sababu ya ubabe
2. Ukatili na tamaa za mali.
3. Ujeuri na uchawi
4. Sawa na namba 3 pamoja na ubishi.
5. Umalaya.
6. Chawote
7. Chawote, hawajui kukataa na wanapenda mno ngono.
8. Uvivu, uchafu na ubinafsi.
Timu kuumizwa😃😃😃
Bado niko njia panda sielewi, lakini hizi experience za wadau zinatisha kidogo
Wajaluo wanapatikana wapi?Ukipata mjaluo, oa haraka.
MI nawaopenda wanyakikyusa Ila nimeanza kuona wakishapata degree moja n. K wa nahisi kama wamemaliza Kila ktu Tena akiwa muajiriwa na Ana kigari chakeYes wachaga wanajitahidi kwenda skonga na hilo linawaongezea mashauzi
sio sana
Wajaluo wanapatikana wapi?
Mkoa wa Mara zaidi.Wajaluo wanapatikana wapi?
Ila wajita wajita wakorofi wajeuri jamani.
Mimi ni mwanaumeNa wewe pia ni single maza?
Wana wowowoMkoa wa Mara zaidi.
Siku hizi wametapakaa Mwanza na Arusha pia kwa wingi.
Wajaluo wengi ni wale wa slim-fit.Wana wowowo
Nini kilikukuta mkuu?Usioe kwa kuangalia kabila mkuu oa mke sahihi na mwema kwako,nilioa msukuma/mnyantuzu ila kitu kilichonikuta aisee mungu mwenyewe anajua
Hawajui wanawake wa Kiha wewe!Umewasingizia nakazia
Kwahyo mkuu bora wajita au wasukuma kidogo?Kuna demu wa kanda hio ya Mara ni mteja wangu. Ana mtoto mmoja ila sasa aliachwaga na huyo mwamba kwahio ni single maza. Ila kwa sasa ana hasira sana hataki kuambiwa habari za kupigwa miti😁 yani ana visasi balaa. Kwa style yake bora awe single tu ukioa nahisi kuna kupasuana nakoz mjengoni
Mi naona bora wasukumaKwahyo mkuu bora wajita au wasukuma kidogo?