Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Nadhani kwa hali ilvyo sasa mabadiliko hayakwepeki , Tundu lissu kaonesha nia na uthubutu kwa Nchi yetu . Kuna haja ya kumuunga mkono kwa mawazo , nguvu ya umma na pesa pale itakapo hitajika.
Haya makundi manne kama yataunganisha nguvu ni wazi uchaguzi 2025 ikulu panaingilika popote pale atakapo kuwepo.
1.Wana CHADEMA kwa ujumla wao
2.Wafuasi wa hayati Magufuli ambao wanahitaji mabadiliko pamoja na Sukuma gang
3.Wana CCM wazalendo na wapenda mabadiliko
4.Wananchi wazalendo na wapenda Maendeleo wasio na vyama
Tungu lissu ni Tumaini la kweli , tuunganishe nguvu .