Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Sio wa nyie manesi?Kabisa kabisa, anachukua uraisi wa ukoo wenu mapemaa!
Akili za kijinga kabisaKabisa kabisa, anachukua uraisi wa ukoo wenu mapemaa!
Mkishampa uraisi wa ukoo wenu, mkeo ndo atakuwa karibu muhtasi wake.Sio wa nyie manesi?
Kabisa kabisa, mleta mada ana akili za kijinga sana.Akili za kijinga kabisa
Hivi uliwaza nini mpaka ukajiita Dr wa Manesi ? Hizi akili za wapiKabisa kabisa, mleta mada ana akili za kijinga sana.
Watanzania msiburuze watanzania wengine.Nadhani kwa hali ilvyo sasa mabadiliko hayakwepeki , Tundu lissu kaonesha nia na uthubutu kwa Nchi yetu . Kuna haja ya kumuunga mkono kwa mawazo , nguvu ya umma na pesa pale itakapo hitajika .
Haya makundi manne kama yataunganisha nguvu ni wazi uchaguzi 2025 ikulu panaingilika popote pale atakapo kuwepo .
1.Wana CHADEMA kwa ujumla wao
2.Wafuasi wa hayati Magufuli ambao wanahitaji mabadiliko pamoja na Sukuma gang
3.Wana CCM wazalendo na wapenda mabadiliko
4.Wananchi wazalendo na wapenda Maendeleo wasio na vyama
Tungu lissu ni Tumaini la kweli , tuunganishe nguvu .
Hajazeeka tuHaya tutajadili akiupata uenyekiti. Maana Mbowe kasema hamuogopi mtanzania yeyote hapa nchini. Akamalizia kwa kusema Lisu kamtengeneza mwenyewe.
Hatari sanaKwa Msimamo wa Museven wa Machame, hayo makundi tayari yashakata tamaa.
Kwasabb iwe mvua a au iwe jua Lisu hashindi!
1.Wana CHADEMA kwa ujumla waoNadhani kwa hali ilvyo sasa mabadiliko hayakwepeki , Tundu lissu kaonesha nia na uthubutu kwa Nchi yetu . Kuna haja ya kumuunga mkono kwa mawazo , nguvu ya umma na pesa pale itakapo hitajika.
Haya makundi manne kama yataunganisha nguvu ni wazi uchaguzi 2025 ikulu panaingilika popote pale atakapo kuwepo.
1.Wana CHADEMA kwa ujumla wao
2.Wafuasi wa hayati Magufuli ambao wanahitaji mabadiliko pamoja na Sukuma gang
3.Wana CCM wazalendo na wapenda mabadiliko
4.Wananchi wazalendo na wapenda Maendeleo wasio na vyama
Tungu lissu ni Tumaini la kweli , tuunganishe nguvu .
Yaani sisi mashabiki wa Mwamba Magufuli tumuunge mkono Mropokaji Lissu? Bro tuheshimiane!Nadhani kwa hali ilvyo sasa mabadiliko hayakwepeki , Tundu lissu kaonesha nia na uthubutu kwa Nchi yetu . Kuna haja ya kumuunga mkono kwa mawazo , nguvu ya umma na pesa pale itakapo hitajika.