Haya makundi Manne yakimuunga mkono Tundu lissu , mapema uchaguzi 2025 anaingia Ikulu

Muwe na shukrani
 
Ndugu unawaza Urais wakati mziki huu aliouanzisha tayari ushaanza kulalia upande
 
Hata hayo yote yasipomuunga mkono, Lissu akiungwa mkono na TISS tu anaingia ikulu.


Ndo mana kama kuna mambo ya kufanyika nchi hii ni maombi ya TISS kupata akili waache kuwa misukule ya CCM kwa maslahi mapana ya taifa, maana siku wakipata akili tu, nchi hii imepata ukombozi wa kweli.
 
Mkuu maisha yake na familia walikuwa hatarini
 
Yule ana makundi mawili moja la Clubhouse na jingine la mtandao wa X la Maria.

Hana lolote anapigwa asubuhi saana.

Mbowe huna hatia na wana CDM simameni na Mwenyekiti wenu.
Hao jamaa wakitaka mapinduzi waanzishe chama chao au waende TLP.
 
Yule ana makundi mawili moja la Clubhouse na jingine la mtandao wa X la Maria.

Hana lolote anapigwa asubuhi saana.

Mbowe huna hatia na wana CDM simameni na Mwenyekiti wenu.
Hao jamaa wakitaka mapinduzi waanzishe chama chao au waende TLP.
Hakuna kitu kama hicho
 
Kama hamjui vitu muwe mnakaa kimya
 
Kwa akili zako unaweza kumkaribisha shetani nyumbani?? Yaani mtu anasapoti mashoga aingie Ikulu??
 
Polisi Je?
 
Kwani na yeye anapata mgao CCM ?
 
Mama akipigwa kwenye boxi la kura anaweza kukataa matokeo atafanya UJECHA ili afanye maridhianošŸ˜„
 
Reactions: RNA
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…